Naondoka na Slaa kampeni ya CHADEMA Asilia!


Yeah man. Tembea na Yethu kupitia Baba Paroko Slaa, na roho yako itapona.
 
Viongoz walishakubaliana...hizo bla blah zenu pelekeni kwingine. Siyo lazma Slaa aonekane kila mahali...zngne ni strategies,,,wajanja wanaelewa
 
Jamani haya ni maneno ya mkosaji! Mlifanya juhudi zote kumzuia Lowasa asiondole CCM mliposhindwa sasa mnaanza uzushi eti Dr Slaa anaondoka chadema
 
Mkuu.., hakika huu ni ubatizo wa moto. Na kwa mamlaka niliyo pewa, nakuondolea dhambi zako zote na sasa u kiumbe mpya.

Babatovu, unafanya makosa! Huyo Mussa Allan alitukana sana, kabla hujatumia mamlaka unayodai umepewa kumsamehe, mwambie atoe tamko la kujirudi, siyo tu kusema yupo huku!
Pili, kama tunataka mabadiliko lazima tukubali yatakapo kuja yanaweza kuwa kinyume na matarajio yetu! Kama tunataka mabadiliko ya Kweli lazima tubadilike kwanza ili tuweze kuya-accommodate hayo mabadiliko. Sasa nyinyi mnaotaka kudhoofisha hizi nguvu za mabadiliko hamna tofauti na wale 'wakoloni wa kijani'!
 
Siasa ni dimbwi la maji yatokayo chooni mpaka yachujwe na udongo ndipo hufaa tena kunywa.
Hiyo gia ya kunyanyaswa ni bao la kisigino tena la FOBE.
 

Nimesoma post zako za nyum wewe ni CCM pure
 
CCM povu limewatoka,aibu yenu Leo,Dr slaa yupo na ataendelea kuwepo.Mkafie mbali CCM
 

Mbona hatupati updates za ziara za Mgufuli?
Umehama chama?
 

Kweli ccm mnalo mwaka huu.
 

Mkuu hakuna wa kuhama, niko mianzini watu wote ni lowasa+ ukawa. Jamaa uliowaacha huko kwenye vitengo ndio wanaleta hizi propaganda.
 


Mkuu ni wewe kweli au kuna mtu amevamia account yako?!
 
Jaman niulize kiswali kwan chadema ni chama cha wachaga au maana wengi ninaowaona ni wachaga tukiwapa wachaga c ndo kila seckita ngazi za juu watakuwa wachaga tuuuu

Bado huijui CHADEMA wewe, unadandia dandia maneno ya kijiweni hakika..Niambie CDM inawabunge wangapi na Wachagga ni wangapi..
 
 
Mkuu hakuna wa kuhama, niko mianzini watu wote ni lowasa+ ukawa. Jamaa uliowaacha huko kwenye vitengo ndio wanaleta hizi propaganda.

Waambie dadii mwaka mbona watakoma. Lazima wazee wa ndiooooooo wawe chama cha upinzani
 

Leo nimeona umeanza kuandika point baada ya kuandika pumba tangu ulipojiunga na mtandao huu, muiteni rafiki yako Lizaboni, FaizaFoxy, Ritz na Simiyu Yetu nao waunge tela la ukombozi zidi ya manyangau CCM.
 
Khaa!! Kwani mgao haukuwafikia? Nauliza tu :glasses-nerdy:
 
Leo nimeona umeanza kuandika point baada ya kuandika pumba tangu ulipojiunga na mtandao huu, muiteni rafiki yako Lizaboni, FaizaFoxy, Ritz na Simiyu Yetu nao waunge tela la ukombozi zidi ya manyangau CCM.

Saivi amehamishia makazi yake mtaa wa ufipa amehama Lumumba buku 7 bye bye.
 
Dr Slaa akiondoka maana yake hesabu hazikuzingatiwa kabla ya kumkaribisha Lowasa..... tumesisitiza kumuunga mkono Lowasa kama viongozi wetu wakuu wote wamekubali kwa dhati hesabu zimezingatiwa....kinyume na hapo sitounga mkono maamuzi haya.....
Naungana na wewe, ingawa mimi bado siamini na sitakaa niamini kabisa kama Mwenyekiti Mbowe anaweza kuanza mazungumzo hayo bila kumshirikisha Katibu mkuu wake DR. Slaa na viongozi wengine wazito ndani ya chama na wakakubaliana kwa kauli moja kwanza.

Wamefanya kazi kubwa mno pamoja uifikisha CHADEMA hapa ilipo leo, ilifikia hatua watu kuwapa credits kwamba combination yao ni bora zaidi kiuongozi kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania.

Leo hii kuniambia Mh. Mbowe amefanya mambo kwa kukurupuka na kutumia kofia yake ya uwenyekiti kumsogeza Lowassa bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wa chama kwanza, hapo ndugu zangu mimi siwezi kuamini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…