Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Huwezi kuwalinganisha Diamond wa Sharobaro na Harmonize wa WCB!
 
Unapoteza mda wako kwa wivu usio na maslahi kwako... Vyuma vimekaza na watu Wanaingiza siku,.. Unaonaje na wewe ungekaa chini ukawaza kuwa na pesa kama Harmonize
 
Hili ni tatizo sawa na ndoa za vijana wakileo,wakishaoana...mke anaanza kumlinganisha mume wake na ma X wake,vivyo hivyo na mume naye anamlinganisha mkewe na ma X wake,matokeo yake ndio kusikia maneno BWAWA NA KIBAMIA
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Iko Hivi, Harmo wimbo wowote atakao toa sahivi watu watakua wana compare na enzi akiwa WCB.

Hapo ndio Tatizo.
ukisikia leo hii mtu flani katangazwa ni TAJIRI wa dunia

Utaacha kufanya comparison na matajiri unowajua ili ujiridhishe?

isije kua wanasema tajiri wakati hafik hata robo ya utajiri wa matajiri unaowajua.

Kwa harmonize pia iko hivyo

Lazima athibitishe kweli ni bora na anaweza simama mwenyewe
 
Siku sio nyingi dogo atapotea mana sizani Kama jembe ni jembe na mjerumani wanauwezo wa kutumia nguvu Kama walizo kua wanatumia babu tale salam sk na mkubwa fela
 
Watanzania wachawi.
Tanzania imekuwa pande 2

Watawala vs Watawaliwa
CCM na Upinzani
Wasafi vs Wapinzani
Diamond vs Wapinzani
Simba vs Yebo yebo

Tanzania kazi ipo
Ndivyo ulimwengu unavyofanya kazi

Mchana na usiku
Mvua na jua
Joto na baridi
Me na ke
Hasi na chanya
Kaskazini na kusini
Mungu na shetani
nk.
 
Una amka asubuh unawaza kumkosoa mwenzako mwenye mafanikio zaid yako...! Hzo nguvu unatoa wap

Wapuuz bado wengi tz, kwann usingechezea hata balls zako upoteze muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…