Huwezi kuwalinganisha Diamond wa Sharobaro na Harmonize wa WCB!Maneno kama haya yaliwahi kusemwa kwa DIAMOND alivyoondoka kwenye lebel ya SHAROBARO RECORDS na kuachia ngoma yake ya kwanza ya MOYO WANGU kila mtu aliona ndo anguko la Diamond na wengi walishauri bora arudi kwa bob juniour.... Ila mpaka sasa kijana anafanya vizuri zaidi ya hapo awali.
Kwa upande wa HARMONIZE naona kijana apewe muda ni mapema mno kutabiri yatakayotokea kwenye mziki wake nje ya WCB.