Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

Maneno kama haya yaliwahi kusemwa kwa DIAMOND alivyoondoka kwenye lebel ya SHAROBARO RECORDS na kuachia ngoma yake ya kwanza ya MOYO WANGU kila mtu aliona ndo anguko la Diamond na wengi walishauri bora arudi kwa bob juniour.... Ila mpaka sasa kijana anafanya vizuri zaidi ya hapo awali.
Kwa upande wa HARMONIZE naona kijana apewe muda ni mapema mno kutabiri yatakayotokea kwenye mziki wake nje ya WCB.
Huwezi kuwalinganisha Diamond wa Sharobaro na Harmonize wa WCB!
 
Unapoteza mda wako kwa wivu usio na maslahi kwako... Vyuma vimekaza na watu Wanaingiza siku,.. Unaonaje na wewe ungekaa chini ukawaza kuwa na pesa kama Harmonize
 
Hili ni tatizo sawa na ndoa za vijana wakileo,wakishaoana...mke anaanza kumlinganisha mume wake na ma X wake,vivyo hivyo na mume naye anamlinganisha mkewe na ma X wake,matokeo yake ndio kusikia maneno BWAWA NA KIBAMIA
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Iko Hivi, Harmo wimbo wowote atakao toa sahivi watu watakua wana compare na enzi akiwa WCB.

Hapo ndio Tatizo.
ukisikia leo hii mtu flani katangazwa ni TAJIRI wa dunia

Utaacha kufanya comparison na matajiri unowajua ili ujiridhishe?

isije kua wanasema tajiri wakati hafik hata robo ya utajiri wa matajiri unaowajua.

Kwa harmonize pia iko hivyo

Lazima athibitishe kweli ni bora na anaweza simama mwenyewe
 
Siku sio nyingi dogo atapotea mana sizani Kama jembe ni jembe na mjerumani wanauwezo wa kutumia nguvu Kama walizo kua wanatumia babu tale salam sk na mkubwa fela
 
Watanzania wachawi.
Tanzania imekuwa pande 2

Watawala vs Watawaliwa
CCM na Upinzani
Wasafi vs Wapinzani
Diamond vs Wapinzani
Simba vs Yebo yebo

Tanzania kazi ipo
Ndivyo ulimwengu unavyofanya kazi

Mchana na usiku
Mvua na jua
Joto na baridi
Me na ke
Hasi na chanya
Kaskazini na kusini
Mungu na shetani
nk.
 
Tafadhali sana umemkuta Harmonize akiwa kwenye peak na nyimbo zake very hot,uendeleze walipoishia WCB na azidi kupaa zaidi,chagueni ngoma kali za kurelease, lakini kwa mwendo huu wa nyimbo mbovu anazotoa siku hizi kama huu mpya "UNO" lawama zote zitarudi kwako we jembe kwa kumshauri vibaya mmakonde wa watu.,ni hayo tu!!
Una amka asubuh unawaza kumkosoa mwenzako mwenye mafanikio zaid yako...! Hzo nguvu unatoa wap

Wapuuz bado wengi tz, kwann usingechezea hata balls zako upoteze muda
 
Back
Top Bottom