Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa, nilikuwa sija-note. Una bahati. Haya kojoa ukalale.Mbona mada iliandikwa mchana mkuu😂
Sawa, uwe na usiku mwema na weweAhaa, nilikuwa sija-note. Una bahati. Haya kojoa ukalale.
Braza unataka umtapeli tu Mshkaji acha izoHilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk
Kwa maelezo zaidi njoo pm
ndoto za kawaida Huwa unajihisi ni kawaida unaoga ndoto za hivo ambazo sio za kawaida Huwa unajihisi Hauna uwezo wa kukataa hata kama nafs haitaki Kwa wakati kama Kuna nguvu inakuforce ufanyeNifanyaje nisiote
Pole sana, cha kufanya angalia uhusiano wako na muumba na ufanye marekebisho mahali panapostahili, pia sali kabla ya kulala na itapendeza kwa imani yako uwaalike viongozi wa imani yako waifanyie maombi nyumba unayoishiNina mke na watoto watatu mkuu
Mkuu, kwanza pole sana.Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Sasa ndo uje kulia huku, akati huombwi hela wala ya kusukia ama kodi ya nyumba, kamatilia hspohapo mdogo wanguNaamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Under 20 ndo kuna ujinga huuUna Umri gani?
tuanzie hapa kwanza
Mkuu kwe2tu fuata huu ushauri ili uondokane na hilo tatizo maramoja. Spiritual marriage is not something you should entertain hata kidogo madhala yake yatajionesha baadae katika maisha yako.Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Kuna binti ulilala naye na ukafungua mlango wa mapepo? Mara nyingi mambo huanzia hapo. Kati ya wanawake wanaoonekana wazuri kabisa wengine ni maajenti wa kuzimu na huwakamata watu kupitia ngono.Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Usifuate ushauri huu wa kishenzi!da!!
natamani kuwa kama wewe,manake no stress,no loss of money,no cheating,no HIV,PANGUSA,UTI yaani unagonga bila condom na hamna madhara!!!! baki ivoivo mzee!!! bahati haiji mara mbili!!!!,,,yaani wewe at bahati mbaya ukifungwa jela,,,,,"no problem",,,unajigongea dem ndotoni tartiiiiiiibu!!!!
Nchi shida zinaongezeka tu umeme,dola,uhaba wa sukari na sasa hiliNaamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia