Naota nafanya mapenzi

Naota nafanya mapenzi

Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk

Kwa maelezo zaidi njoo pm
Braza unataka umtapeli tu Mshkaji acha izo
 
Nifanyaje nisiote
ndoto za kawaida Huwa unajihisi ni kawaida unaoga ndoto za hivo ambazo sio za kawaida Huwa unajihisi Hauna uwezo wa kukataa hata kama nafs haitaki Kwa wakati kama Kuna nguvu inakuforce ufanye
 
Ilo ni pepo mazee na kama ni kila siku ila kama ni mara moja moja ni hali tu ya mwili, kama nakuona unavyoteseka linakuja lina kurestrain ufurukuti linajipiga mishindo utaona kabisa unanyonywa denda linajipump ,unamwaga wazungu ukimwaga tu ndo unarudi conscious
Sometimes adi lenyewe linakojoa utahisi kimiminika kimekuchuruzikia ila ukigusa iyo sehem unakuta pakavu ata sperm zako hazijafika. Na ni washenzi hata kiuchumi unayumba

Ukishtuka unachukia sana iyo hali , sasa mi iyo hali nilikuwa nayo kipindi fulani
Nikawa nakadiria muda wake saa tisa hadi kumi kuelekea kukucha nakuwa silali pono basi akija tu najihis mapigo ya moyo yanaenda mbio gafla tu alafu nahis kama kitu kinanizonga kuanzia puani
Basi mi nakausha tu huku nakemea kimoyo moyo kinasepa , akija anakufreez uwezi ongea wala kujitingisha

Sa siku fulani nikahisi uume umeshikwa yani ulishikwa kabisa nikakurupuka chap nilisonya nikatukana nikasema katafute type yako 🤭 nikasali kidgo nikalala

Zikapita miezi likaniotea nashtuka tu nazihis zinachuruzika na nilipambana sana kujinasua

Hadi sasa imepita muda sijaona iyo hali
Ila nahis bado lipo maana mademu huwa wananikwepa kila apointment lazima ivunjike nikisex dushe linauma kinyama,usiku nashtuka sana ko linanilia tyming
 
Nina mke na watoto watatu mkuu
Pole sana, cha kufanya angalia uhusiano wako na muumba na ufanye marekebisho mahali panapostahili, pia sali kabla ya kulala na itapendeza kwa imani yako uwaalike viongozi wa imani yako waifanyie maombi nyumba unayoishi
 
Huo ni upwiru unakutesa mkuu tafuta mbususu ya kuichakata daily
 
Jipige kifua huku ukijiambia wewe ni mwanamme

Usiwaze tofauti na hapo
 
Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia

Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.

Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.

Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.

Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.

Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu

Naomba kuwasilisha wakuu
Mkuu, kwanza pole sana.

Kiroho, una mke wa kipepo (spiritual wife), ambaye ndio huwa unakutana nae kimwili ukiwa ndotoni.

Unahitaji kufunguliwa mara moja, kwasababu ipo hatari kubwa zaidi mbeleni. Kama hujaoa, inawezekana hilo pepo likazuia mipango yako ya ndoa kwasababu ya wivu. Au kama umeshaoa, litakusababishia migogoro kwenye ndoa yako ili libaki lenyewe penzini.

Wahi haraka kwa mtumishi wa MUNGU unayemuamini kulingana na Imani yako, USIPUUZE.
 
Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia

Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.

Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.

Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.

Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.

Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu

Naomba kuwasilisha wakuu
Sasa ndo uje kulia huku, akati huombwi hela wala ya kusukia ama kodi ya nyumba, kamatilia hspohapo mdogo wangu
 
Katika hali ya kawaida unafanya mapenzi angalau mara 4 kwa mwezi?
Unapoota unafikia mshindo (ejaculation)? Au hufikii?
Kama unafikia mshindo na hufanyi mapenzi mara kwa mara ni hali ya kawaida mzigo unatoka.
Ila kama unapiga nyeto at least 5 days per month au unafanya mapenzi angalau 5 days per month na ukiota unafanya mapenzi na kumwaga usingizi hapo hutoboi.
Ushaibiwa kila kitu
 
Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk

Kwa maelezo zaidi njoo pm
Mkuu kwe2tu fuata huu ushauri ili uondokane na hilo tatizo maramoja. Spiritual marriage is not something you should entertain hata kidogo madhala yake yatajionesha baadae katika maisha yako.
 
Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia

Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.

Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.

Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.

Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.

Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu

Naomba kuwasilisha wakuu
Kuna binti ulilala naye na ukafungua mlango wa mapepo? Mara nyingi mambo huanzia hapo. Kati ya wanawake wanaoonekana wazuri kabisa wengine ni maajenti wa kuzimu na huwakamata watu kupitia ngono.

Ndoto za kujamiiana zilizozidi ni ishara ya operation ya ulimwengu wa giza ndani yako na zinaweza kuambatana na kuharibika kwa mambo yako kama vile uchumi na mahusiano katika ndoa.

Je kuna mwanamke ulilala naye na pengine kakuunganisha kwenye mtandao wa giza?
 
da!!

natamani kuwa kama wewe,manake no stress,no loss of money,no cheating,no HIV,PANGUSA,UTI yaani unagonga bila condom na hamna madhara!!!! baki ivoivo mzee!!! bahati haiji mara mbili!!!!,,,yaani wewe at bahati mbaya ukifungwa jela,,,,,"no problem",,,unajigongea dem ndotoni tartiiiiiiibu!!!!
Usifuate ushauri huu wa kishenzi!
 
Kula mbususu hizo. Wewe umepata bahati ya kuwazagamua ndotoni bila kutuma nauli wala kuombwa hela ya kusukia halafu unalalamika.
 
Kwenye uhalisia wa maisha yako huwa unafanya mapenzi kweli?

Una mwanamke? Kama una mwanamke je mnafanya mapenzi kwa kuridhishana yaani ile ya kumaliza kabisa hamu? [emoji848]
 
Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia

Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.

Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.

Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.

Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.

Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu

Naomba kuwasilisha wakuu
Nchi shida zinaongezeka tu umeme,dola,uhaba wa sukari na sasa hili
 
Back
Top Bottom