Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
-
- #21
Shukran mkuu inabid nkubar siponae Tena azid kupumzika kwa amanKifo chake ni vile vifo vinaitwa pre mature deaths,yaani kifo kabla ya wakati,mara nyingi watu wa namna hyo huwa hawaendi mahali pa nafsi za kupumzikia bali huwa wanakuepo tu maeneo yetu mpaka pale Watapoitwa na Mungu kwa wakati wake sahihi...Kauli yake wa mwisho ndiyo ina utata,labda alisema kwa utani tu ila ina maana kubwa.Ni wazi kuwa bado yupo na wewe kiroho na anajiskia vzr kuwa na wewe,japo si kawaida na si kwa namna ya kibinadamu.Inauma ila anatakiwa aende tu coz yeye ni mfu na wewe ni hai,hamuwezi kuwa pamoja,ingawa itamuuma sana.
Asanteee mkuuPole sana mkuu
Asante nishapona lkn mazoea yanatesa[emoji31][emoji31][emoji31] huyo ndio mlinzi wako na furahia unavyo muona kwenye ndoto iko siku atakufunia mambo mazito !
Ubarikiwe na pole sana!
Omba sana ,kemea hiyo hali.Kataa roho ya mauti.Hii ndoto inaonyesha na wewe utakufa ukaungane na mdogo wako .Yes kufa kupo ila at 29 ni mdogo sana.Unajua kuna watu wanakufa kabla ya nyakati zao.Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu
Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa
Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote😭😣
Mkuu Dunia ngumu sana, me na sister angu huyo mwaka wa saba huu umeisha ila mpaka kesho inaniuma sana nikimkumbuka.Nilimpenda Sana blood brother Kuna muda nikimkumbuka moyo unauma 3 years now lkn naona Kama nmemzika juzi tu
Kuna rafiki yangu alifariki kifo kilicholeta shaka sana, maana aliugua ghafla kichwa mwezi Disemba 2020 na akawa anapoteza akili. Hospitali walisema ana ufa katika fuvu la kichwa ndio linalosababisha maumivu makali ya kichwa anayosikia.Ni wazi kuwa bado yupo na wewe kiroho na anajiskia vzr kuwa na wewe,japo si kawaida na si kwa namna ya kibinadamu.Inauma ila anatakiwa aende tu coz yeye ni mfu na wewe ni hai,hamuwezi kuwa pamoja,ingawa itamuuma sana.
Pole sana ila pia hongera, if you are not comfortable with it, ukiota Tena ukiamka, ongea tu kwa sauti au kimya kimya, mwambie nakupenda ila naomba upumzike! AmenNote siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote😭😣
[emoji28][emoji28]Kwanini kwako inakua ni shida? hutaki kukutana nae ndotoni? Msemeshe mwambia kaka pumzika
Pole sana mkuu, ni imani tu wazungu wanaita sensational life after death.Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu
Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa
Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote😭😣
Wakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu
Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa
Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote😭😣
Sometimes ndoto ni kumbukizi ya matukio yaliyopita. Don't take it too seriousWakuu naomba ushauri wenu Mimi ni mtoto wa pili Kati ya familia ya watoto watano Nina miaka 29 miaka mitatu nyuma nilipata msiba wa mdog angu tuliyefuatana ambaye mpaka kifo chake kinatokea alikuwa Yuko kidato Cha nne kifo chake kilitokea ghalfa tu
Shida yangu Kila siku naota ndoto Niko pamoja nae kweny mazingira mapya tukiongea au tunaenda sehemu Fulani au tupo mazingira Fulani nakosa amani kabisa
Note siku anaaga dunia akiwa mikononi mwangu aliniambia Kaka naenda Ila nitakuwa nawe siku zote😭😣
Kama unaimani katika Kristo Yesu na nguvu zake. Mwite kwa jina lake huyo ndugu na kumwamuru apumzike pema katika Jina la Yesu. Pia kemea pepo wanaoweza kujifanya ndugu yako wakome kufanya hivyo kuanzia sasa.Nilimpenda Sana blood brother Kuna muda nikimkumbuka moyo unauma 3 years now lkn naona Kama nmemzika juzi tu