Kuvaa barakoa hakumsaidii mtu sana kama jamii nzima haivai, alichokisema mentality ya jamii ndiyo imepelekea yeye kuupata.Asante
Chukua tahadhari makinika, vaa barakoa ukitoka nje, nawa kwa maji tirirka na sabuni, epuka mikutano na msongamano, fanya mazoezi na toa elimu kila unapopita. UVIKO-3 ni hatari.
AsantePole sana Mkuu!.
Naona hali si mbaya sana. Umeweza kuandika. Ugua vema.
people are dying brother!Nikiwambia watu hawaelewi wanadhani masikhara! Tatizo sio wapumbavu kufa tatizo wanasambaza na kuua wasio na hatia...
Muongo tu huyo hata hajapima anasema ni corona. Suppose amelogwa tu na bibi yake kwa wizi wake? ππKuvaa barakoa hakumsaidii mtu sana kama jamii nzima haivai, alichokisema mentality ya jamii ndiyo imepelekea yeye kuupata.
Sijapata confirm maana daktari alinambia ni wimbi la mafua na kunipatia dawa za flu na kikohozi. | Najitibia kwa kufuata kanuni mbalimbali toka vyanzo mbalimbali.Pole sana mkuu Isa, get quick recovery π na je umeshapima kuconfirm its wave 3? Ama unajitibia kadri unavoona hizo dalili?π€
Nakuelewa mkuu! Inauma mno huwa nafikiria maisha yamekua mafupi sana lolote linatokea muda wowoteπͺ Mungu atusaidie waja wakezamani kufiwa ilikuwa unakaa hata miaka 5 anaondoka member 1paap!!mnatulia tena ht miaka7 ndo afatie mwingine!!
ndani ya mwezi unafiwa na members 2 halafu walikuwa wazima wa afya!bado roho iko juu juu mwezi unafuatia wengine 2 paap!
hapo mwingine akiumwa kwa mtindo ule ni mashaka yaani unakuwa moyo unakulipuka kila mda huna raha.
Ok pole sana mkuuSijapata confirm maana daktari alinambia ni wimbi la mafua na kunipatia dawa za flu na kikohozi. | Najitibia kwa kufuata kanuni mbalimbali toka vyanzo mbalimbali.
Acha uongo wako weweAsante
Chukua tahadhari makinika, vaa barakoa ukitoka nje, nawa kwa maji tirirka na sabuni, epuka mikutano na msongamano, fanya mazoezi na toa elimu kila unapopita. UVIKO-3 ni hatari.
Nilifikiri umekufa kumbe bado unapambana tu! Kelele nyingiiii kumbe hata kupima hujapima!!
Sasa mbinu zilizofeli uzichukue upeleke wapi? We mama na wewe unazeeka vibaya ππππwee nae,kwa hio tusichukue measures..kisa nchi nyingine zimefeli??
Toka juzi hadi muda huu nimekwisha tumia TZS 150k+ madawa mbalimbali na vyakula hivi vya kusaidia kupambana. Naamini nitapona mapema kabla hali yangu ndogo ya uchumi kusumbua.Awamu ya pili nilikumbana na huu ugonjwa, kiukweli ugonjwa huu unatesa sana mgonjwa, ni gharama hata kama una hela, kwa asie na hela hali yake ni ngumu sana....
Vipi Mama yako anaendeleaje na Covid 19 si ulisema wiki iliyopita kuwa amepatwa na Covid 19?Wewe umeshatia timu.
Bila shaka wale wanaoona anapigania mikopo na misaada ya imf, watakuwa bado wanamvutia kasi.
Wave two iliondoka na mzee wangudaahh rangi ya bluu ni kwamba oxgen level ilikuwa chini sana.
huu ugonjwa toka mwaka umeanza umeshaondoka na 4 family members akiwemo mamaangu!!
na hapa sshv naongea mwingine amelazwa na ventilator juu...
acheni maskhara kbs.
Piga nyungu. Covid haina dawaToka juzi hadi muda huu nimekwisha tumia TZS 150k+ madawa mbalimbali na vyakula hivi vya kusaidia kupambana. Naamini nitapona mapema kabla hali yangu ndogo ya uchumi kusumbua.
Kupambana na COVID-19 hutakiwi kucheka na watu wapumbavu, unaweka strictly rules na ni lazima kufuatwa ndio tutaweza kuondosha.kwani haijawafikia tayari?? mbona viongozi kina Kijazi waliondoka nayo?? basi tu hatuna waziri wa afya makini..alikua anahimiza nyungu..sasa hivi Rais yuko makini ndio kaanza kuhuburi watu wachukue tahadhari...matokeo yake watu wanapuuza guidelines...chanjo inaonekana kama sijui duddu gani
mnhhhh....ngoja upatwe na nduguyo mgonjwa ndio utatia akili, hujaangalia nchi zilizou contain ugonjwa kwa kufuata guidelines,umechoose kuwa biased kuangalia only zilizofeli...pole we! hao Italia pamoja na kufeli kwao je wameacha kuvaa barakoa??..Sasa mbinu zilizofeli uzichukue upeleke wapi? We mama na wewe unazeeka vibaya ππππ
Bado sijapata chanjo.Je umepata chanjo?