mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
hiyo pesa ndogo sana.Toka juzi hadi muda huu nimekwisha tumia TZS 150k+ madawa mbalimbali na vyakula hivi vya kusaidia kupambana. Naamini nitapona mapema kabla hali yangu ndogo ya uchumi kusumbua.
Sawasawa...Asante
Chukua tahadhari makinika, vaa barakoa ukitoka nje, nawa kwa maji tirirka na sabuni, epuka mikutano na msongamano, fanya mazoezi na toa elimu kila unapopita. UVIKO-3 ni hatari.
Sio lazima kukubali au kuchukua kila shauri, ikiona na kuamini hakuna UVIKO we endelea na mikutano, mikusanyiko, kutokuchukua tahadhari na shughuli zako ulivyopanga.Peleka ujinga wako ulipo utoa kwa hiyo kwa kuvaa barakoa unajiona umefuzu kuwakebehi wengine? Unadhani Italy walishindwa kununua barakoa au kunawa na maji tiririka?
Nahisi nakuonea maana maelezo yako yamedhihirisha kiwango cha maarifa yako. Na kwa kuwa umechagua kupokea taarifa bila kuzifanyia utafiti hivyo nikushauri tu, wewe endelea kuvaa barakoa kama njia ya kijikinga na virus maana ndicho ulichokariri.mnhhhh....ngoja upatwe na nduguyo mgonjwa ndio utatia akili, hujaangalia nchi zilizou contain ugonjwa kwa kufuata guidelines,umechoose kuwa biased kuangalia only zilizofeli...pole we! hao Italia pamoja na kufeli kwao je wameacha kuvaa barakoa??..
Nahisi nakuonea maana maelezo yako yamedhihirisha kiwango cha maarifa yako. Na kwa kuwa umechagua kupokea taarifa bila kuzifanyia utafiti hivyo nikushauri tu, wewe endelea kuvaa barakoa kama njia ya kijikinga na virus maana ndicho ulichokariri.
Vipi Mama yako anaendeleaje na Covid 19 si ulisema wiki iliyopita kuwa amepatwa na Covid 19?
Hakika! Watu hawaelewi kabisa ukisema neno Corona au UVIKO, ukivaa barakoa au kunawa mikono unaangaliwa mita 100.Pole sana mkuu and thanks for sharing , corona itaendelea kuenea sababu moja wapo ndiyo hiyo uliyoitaja kuna baadhi ya watu ni "Empy set" yaani wapo wapo tu hawajui kitu kinachoitwa tahadhari nadhani mwendazake aliwa_brainwash sana.
Peleka ujinga wako ulipo utoa kwa hiyo kwa kuvaa barakoa unajiona umefuzu kuwakebehi wengine? Unadhani Italy walishindwa kununua barakoa au kunawa na maji tiririka?
Huu ndio ukweli, hakuna namna utaweza kujikinga kwa ukamilifu kama jamii yako haifanyi hivyo. Uwezekano wa kupambana na ugonjwa huu ni kwa jamii kwa uwingi wake kujikinga na kufuata masharti sawa. (Refer first phase, ila tusiwe na lockdown, kabla hatujakengeuka na kusema maombi yametuokoa).Habari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika nchi...
Wanamambo ya ajabu sana hawa, sasa nidanganye kuwa na COVID-19 kusudi inisaidie nini?!Wewe nawewe chawa wa mwendazake umeshatia timu. Tunajua kama mlivyo:
1. Corona haipo
2. Hamtaki katiba mpya.
Tunasubiri wale wa mambo ya mikopo na misaada ya IMF. Bila shaka wako njiani.
Sasa huyu amejuaje kama ni DELTA na hajapima?Nilifikiri umekufa kumbe bado unapambana tu! Kelele nyingiiii kumbe hata kupima hujapima!!
Nimejaribu kuwaza vipimo kafanyia wapi??Nilifikiri umekufa kumbe bado unapambana tu! Kelele nyingiiii kumbe hata kupima hujapima!!
Katiba iliyopo inatosha mkuu sasa hivi tunahangaika na kuimarisha uchumi. Kuhusu Corona tutaishi nayo kwa muda mrefu hata Baba zako WHO wameshasema. Hivyo fanyakazi achana na coronaWewe nawewe chawa wa mwendazake umeshatia timu. Tunajua kama mlivyo:
1. Corona haipo
2. Hamtaki katiba mpya.
Tunasubiri wale wa mambo ya mikopo na misaada ya IMF. Bila shaka wako njiani.
Watu hawaelewi hili, wanadai tunalipwa kusambaza propaganda. Fikra zao zimefungwa tayari, kitakacho wakumbusha ni uhalisia.Huu ndio ukweli, hakuna namna utaweza kujikinga kwa ukamilifu kama jamii yako haifanyi hivyo. Uweekano wa kupaambana na ugonjwa huu ni kwa jamii kwa uwingi wake kujikinga na kufuata masharti sawa...
Wanamambo ya ajabu sana hawa, sasa nidanganye kuwa na COVID-19 kusudi inisaidie nini?!
Kwahiyo ulitaka watu wasife? Kwani hii dunia ni ya baba yako?people are dying brother!
watasema watu mbona wanakufa kila siku but sasa hivi ni too much!
tembelea barabara ya arusha-dar uone vimuli muli vinavyopita..sio kawaida.
unahesabu misafara karibu 50 zinapeleka msiba halafu mtu akwambie eti hamna korona.