Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

Aisee kweli kila mtu na mapungufu yake, Nimeamini MUNGU atamlipa kila mja kwa kadiri ya haki yake.

Mkuu kwanini usianze mahusiano serious? Kumbe ulikuwa unakamata pisi kama ShesRise_1 halafu unaleta drama! U can't be serious
How old a u?
Ni basi tu she didn't give me a chance ila I was soo serious about it. I was never going to disappoint her. I was willing to let everything in me die just to get her
 
Ni basi tu she didn't give me a chance ila I was soo serious about it. I was never going to disappoint her. I was willing to let everything in me die just to get her
Amesema wewe ni drama boy😄
 
Ile siku gani? Kama ni kuhusu mada yako, ulinzingua wewe na hoja zako uchwara

Mbona naona nikipata mke ndo itatulia, maana hizi hamu zitahamia kwake! Nitamweka wazi ili naye achukue jukumu la kuni Linda nisiingie dhambini

Wala sio kwamba una tatizo, zingatis alichoandika mzee mwenzangu ERoni , hili jambo linatatiza hadi watumishi wa Mungu. Kuna rafiki yangu alikua anasema "If and only if I can overcome hammering, I will go to heaven Chief..."

Yeye alikua anajaribu kwa nguvu zote awe baba bora na mume bora ila anakwambia hawezi kaa siku tatu bila kupata huduma. Shida kubwa, alikua anaishi nchi tofauti na mke wake, alikua na pesa, unaweza kuona changamoto aliyokua nayo kwenye kuacha kutamani wanawake. Ilifika mahali hajali ni wale dada zetu, muhudumu wa sehemu za burudani su ni mtu gani, yeye anabeba tu.

Turudi kwenye hoja, nnachokiona, wewe kinachokufanya utulie hizo baadhi ya nyakati, ni ukosefu wa pesa, ndio maana ukizipata tu, unataka utimize haja na matamanio ya moyo wako.

Kila jambo linahitaji nidhamu, bila hiyo, hata ukioa, usifikiri utaacha, la hasha, ingekua ni hivyo, ung we kua na mmoja tu ukatulia nae huyo huyo hata wakati huu ambapo bado haujaoa.

Na mbaya zaidi, hiyo hali ya kutamani na kuona unaweza mpata mwanamke, ipo ndani yetu kwa wengi wetu, nachelea kusema wote, sasa hapo ndio suala la nidhamu na kujitambua linakuja, unafanya nini baada ya hapo? Utaenda na kila mwanamke unaekutana nae? Utajiuliza kwanini ufanye hivyo na ufanye na nani? Utapata muda wa kutafakari athari zinazoambatana na mwendo huo wa maisha?

Siku utakapoona unapesa na ukaweza kudhibiti kutotamani na kuwaza kupiga kimasihara, ujue tayari umeshapevuka na kuwa na uwezo wa kupeleka mambo unavyotaka wewe, sio yenyewe yakupelekeshe.
 
Mkuu nimekuelewa vizuri sana
 
Mkuu, Tunaomba basi namba ya Huyo jirani. Maana kwa namna umemuelezea na mm nimetamani.

Ila all in all usiwe na shaka Huo ndio uwanaume, Ni kawaida kabisa. Na ni kawaida kabisa pesa zako kuishia kwa wanawake.
 
Allah akuhifadhi inshaaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…