El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
chukua bolo lako pindisha paka mkongo jichomekee alafu shushia na koka baridi
Sahihi sana mkuuTatizo ni pale kila unayemtamani unapambana umvue,
Haupo peke yako tupo wengi sana kikubwa self control ndo uanaume huo..Moja ya kitu kinachonisumbua ni kuwa mimi ni mraibu wa wanawake.
Ni kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati nimejikuta automatically hii hali inanijia hasa kwa hatari mbaya sana...
Napenda sana wanawake, nikiona mwanamke mrembo, mwenye uzuri wa umbo mpaka sura, nachanganyikiwa kabisa. Ndo maana Mungu hataki niwe maarufu mapema, huenda ningelitumia umaarufu huo kama yule jamaa aliye trend sijui nchi gani ile.
Imagine leo kuna jirani kahamia nilipopanga Kaja na mchumba wake, aisee sijui nini hiki nimetoka leo nje nakutana nayo imejifunga kanga. Sijui ni nini nikajikuta nimeifikia tu na kuanza kuipigisha stori kama sio mke wa mtu..
So nipende kumshukuru Mungu kwa kuliweka swala hili katika awareness yangu. Ndugu zanguni ndo maana makosa kupiga hatua, kukaa Natamani wanawake bila aibu kabisa. Hili ni pepo nalikemea katika jina la yesu.
Sasa namowmba Mungu anisaidie nisiwe mtu wa kutamani, ngono na wanawake hasa wenye waume zao. Kwa kweli ukitaka kujua udhaifu wako pata pesa. Yaani deep subconscious pattern inarudi kwa nguvu mpaka najiuliza huku ni kurogwa ama?
Hata kinacho tokea nchini unashangaa mtu yuko madarakani despite uchafu unao tokea nje! Sio kwamba haoni bali ile nguvu ya pesa inakufanya kuwa beast.
Enyi ndugu zangu msisite kuniweka katika maombi niachane na hii dhambi mbaya ilioambatabishwa katika amri kumi za Mungu.
Niwatakie weekend njema na Mungu awabariki. 🙏
Nisikilize dogo sikua na lengo baya ila unge andika Uzi bila kusema tangu umiliki vijisenti bado unge eleweka, hivo nikujipa promo kijanja haifai Kuna Leo na kesho, nashanga umepanicAcha ujinga dogo..
Kama akili zako ndogo zilikupeleka huko, basi wewe ndo mlimbukeni. Maisha ya kujionesha sio priority tena hasa kwa miaka hii, no one gives a shit. Unafikiri kila mtu ni mtoto humu? Huna cha kunielimisha na sina cha kujifunza maana nimekuelezea kitu ambacho kama mtu mwelewa ungelikuwa umesha kiona
Moja ya kitu kinachonisumbua ni kuwa mimi ni mraibu wa wanawake.
Ni kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati nimejikuta automatically hii hali inanijia hasa kwa hatari mbaya sana...
Napenda sana wanawake, nikiona mwanamke mrembo, mwenye uzuri wa umbo mpaka sura, nachanganyikiwa kabisa. Ndo maana Mungu hataki niwe maarufu mapema, huenda ningelitumia umaarufu huo kama yule jamaa aliye trend sijui nchi gani ile.
Imagine leo kuna jirani kahamia nilipopanga Kaja na mchumba wake, aisee sijui nini hiki nimetoka leo nje nakutana nayo imejifunga kanga. Sijui ni nini nikajikuta nimeifikia tu na kuanza kuipigisha stori kama sio mke wa mtu..
So nipende kumshukuru Mungu kwa kuliweka swala hili katika awareness yangu. Ndugu zanguni ndo maana makosa kupiga hatua, kukaa Natamani wanawake bila aibu kabisa. Hili ni pepo nalikemea katika jina la yesu.
Sasa namowmba Mungu anisaidie nisiwe mtu wa kutamani, ngono na wanawake hasa wenye waume zao. Kwa kweli ukitaka kujua udhaifu wako pata pesa. Yaani deep subconscious pattern inarudi kwa nguvu mpaka najiuliza huku ni kurogwa ama?
Hata kinacho tokea nchini unashangaa mtu yuko madarakani despite uchafu unao tokea nje! Sio kwamba haoni bali ile nguvu ya pesa inakufanya kuwa beast.
Enyi ndugu zangu msisite kuniweka katika maombi niachane na hii dhambi mbaya ilioambatabishwa katika amri kumi za Mungu.
Niwatakie weekend njema na Mungu awabariki. 🙏
Constructive thing Kwenye h mada ya kipumbavu, sasa unataka wazo gn la maana kulingana na huu upuuzi ulioandika?Nilisha kwambia huo ujuha na upuuzi wako wapelekee majuha wenzio, kama huna constructive thing to add up. Rudi iliko toka tu maana Nita expose ulivyo mwehu
Tafuta kazi ya kufanya, hayo mawazo ya hovyo yatakomaNiko hapa kutafta mbinu ya kupambana na uraibu sio kujionesha kuwa na pesa
Ww unatakiwa kupigwa mande na wanaume ili akili ikae vzrNenda kanisani ukatubu asshole
C umechoka kuwatamani wanawake, watamani Wanaume sasa tukukandeJamaa unatafuta ban tu mjinga! Na ulivyo Lishamba unaji expose kama shoga
usiache wanawakeI kuwa una maanisha nn mkuu?