Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #21
Ndio ila mimi kuwa na hela haimnufaishi mtu humuHuo Uzi hujauandika wewe. kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati,
Hiyo bold imeandika wewe mwenyewe sasa mbona sasa unakanusha umesema mwenyewe kuwa umepata vijisenti sasa unakanusha nikuelewe vipi