Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

Kama unaishia kwenye kutamani wala usiwaze, wanaume wengi wamejawa tamaa ya mwili, it's absolutely normal.

Tatizo ni pale kila unayemtamani unapambana umvue, utakufa masikini coz there's no free lunch anymore.
Mkuu huwa najuta baada ya matukio tu.. Nikishamweka mtu katika mawazo yangu haiishii kutamani tu, lazima nifanye attempt.
 
Kuna hatua utapunguz utapoaanz kujua mapenz ni PESA, utadili na kusak pesa ili mapenz yakufate
Sasa mbona sasa hivi nimepata kidogo tu najikuta napatwa na hisia kali sana? Tena zinakuja kama umeme?
 
Ni rahisi sana kutoka kwenye utumwa huo,
1. Okoka mpokee Yesu awe msaada wako kwa unayoshindwa.
2. Oa mwanamke unayehisi anamaliza matamanio yako.
3. Ingiza dharau au negativity dhidi ya wanawake, mfano, ukiona mwanamke mzuri unayehisi unaelekea kumtamani, I gizani mawazo kwamba wanawake wote ni sawa radha ni ile ile na uliyoiacha nyumbani, pia ukiona mwanamke husika hofia maradhi pia mtoe kasoro yoyote maana hawezi kosa.
Baada ya hapo akili na kila kiuu kitanywea.
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo.
Hasa kwenye kuoa hapo
 
Back
Top Bottom