Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

Una hela una heleni, pesa HAITAJI KELELE kijana sawa, usirudie kujionyesha Kwa maneno Fanya vtendo watu wataona una vijisenti sio kukurupuka baada ya kushiba ugali, sikitusi ila tunaelimishana tu, stay home stay safe
Acha ujinga dogo..

Kama akili zako ndogo zilikupeleka huko, basi wewe ndo mlimbukeni. Maisha ya kujionesha sio priority tena hasa kwa miaka hii, no one gives a shit. Unafikiri kila mtu ni mtoto humu? Huna cha kunielimisha na sina cha kujifunza maana nimekuelezea kitu ambacho kama mtu mwelewa ungelikuwa umesha kiona
 
Jambo muhimu ni kutofautisha kutamani na kufuata tamaa. Huwezi kuzuia kila hisia inayokuja, lakini unaweza kujifunza kudhibiti hatua unayochukua baada ya hisia hiyo.
 
Jambo muhimu ni kutofautisha kutamani na kufuata tamaa. Huwezi kuzuia kila hisia inayokuja, lakini unaweza kujifunza kudhibiti hatua unayochukua baada ya hisia hiyo.
Na hicho ndo kitu nafanyia kazi mkuu
 
Huo ndio uanaume Mkuu siku ukikosa Hela ya lodge au kuhonga nicheck Mkuu wangu, Hatutaku kusikia Kuna watu wanapumuliwa kisogoni hawa wanawake tumeumbiwa sie tushirikiane kuwachakata
 
Huo ndio uanaume Mkuu siku ukikosa Hela ya lodge au kuhonga nicheck Mkuu wangu, Hatutaku kusikia Kuna watu wanapumuliwa kisogoni hawa wanawake tumeumbiwa sie tushirikiane kuwachakata
Daah 😂
 
Moja ya kitu kinachonisumbua ni kuwa mimi ni mraibu wa wanawake.

Ni kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati nimejikuta automatically hii hali inanijia hasa kwa hatari mbaya sana...

Napenda sana wanawake, nikiona mwanamke mrembo, mwenye uzuri wa umbo mpaka sura, nachanganyikiwa kabisa. Ndo maana Mungu hataki niwe maarufu mapema, huenda ningelitumia umaarufu huo kama yule jamaa aliye trend sijui nchi gani ile.

Imagine leo kuna jirani kahamia nilipopanga Kaja na mchumba wake, aisee sijui nini hiki nimetoka leo nje nakutana nayo imejifunga kanga. Sijui ni nini nikajikuta nimeifikia tu na kuanza kuipigisha stori kama sio mke wa mtu..

So nipende kumshukuru Mungu kwa kuliweka swala hili katika awareness yangu. Ndugu zanguni ndo maana makosa kupiga hatua, kukaa Natamani wanawake bila aibu kabisa. Hili ni pepo nalikemea katika jina la yesu.

Sasa namowmba Mungu anisaidie nisiwe mtu wa kutamani, ngono na wanawake hasa wenye waume zao. Kwa kweli ukitaka kujua udhaifu wako pata pesa. Yaani deep subconscious pattern inarudi kwa nguvu mpaka najiuliza huku ni kurogwa ama?

Hata kinacho tokea nchini unashangaa mtu yuko madarakani despite uchafu unao tokea nje! Sio kwamba haoni bali ile nguvu ya pesa inakufanya kuwa beast.

Enyi ndugu zangu msisite kuniweka katika maombi niachane na hii dhambi mbaya ilioambatabishwa katika amri kumi za Mungu.

Niwatakie weekend njema na Mungu awabariki. 🙏
kutamani wanawake si uraibu bali ni haki,ni wajibu ni lazima
 
Back
Top Bottom