Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Ina vyumba vinne,sebule kubwa vyoo,Salaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)
Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.
Nyumba ni kubwa sana,inauwanja,fremu,Geti,maji,umeme,
Self contained.
Picha zitafuata.
If you interested PM me.
Kwanini haukusubiri upate hizo picha ndio upost?Salaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)
Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.
Nyumba ni kubwa sana,inauwanja,fremu,Geti,maji,umeme,
Self contained.
Picha zitafuata.
If you interested PM me.
Bei kubwa?Japo nipo huku Arusha mji wa gharama sana lakini hiyo bei ni kubwa mno,we ni dalali?
Unataka?Kwanini haukusubiri upate hizo picha ndio upost?
Sita Hadi mwaka ,Una chukuwa kodi ya miezi mingapi ? Au hata mmoja mmoja ?
Bei kubwa?
Nyumba ya vyumba vinne
Ac
Master bedroom
Fernitures za jikoni nk
Fremu
Fence,maji,umeme
Uwanja
Na mabanda ya uwani
Mita chache tu toka baharini
Laki 4.5 kubwa?
Na maelewano yapo
Nimeandika hapo mie sio Dalali ni muhusika
Ac si umeme wa mpangaji au unalipia umeme wewe?Ni ghali mkuu hiyo nyumba laki 3 na kodi ni miezi mi3 tu sio 6.Bei kubwa?
Nyumba ya vyumba vinne
Ac
Master bedroom
Fernitures za jikoni nk
Fremu
Fence,maji,umeme
Uwanja
Na mabanda ya uwani
Mita chache tu toka baharini
Laki 4.5 kubwa?
Na maelewano yapo
Nimeandika hapo mie sio Dalali ni muhusika
Ok,nawekaa.now nimesema na video clipKm maelezo yako hujaongeza Chumvi...! Weka picha me nije niione sasa hv. Lkn ufanye laki 4 na nikulipe kodi ya miezi 3. Kuna umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo na nyumba ilipo???