House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

Bloodstone

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Posts
920
Reaction score
994
Salaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)

Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.

Nyumba ni kubwa sana,inauwanja,fremu,Geti,maji,umeme,
Self contained.
Picha zitafuata.
If you interested PM me.
 
Ina vyumba vinne,sebule kubwa vyoo,
Chumba kimoja master bedroom
Jiko liko decorated na furnitures tayari,
Fremu,uwanja mkubwa ,geti,maji na umeme, AC,uwanja mkubwa na mabanda
 
Salaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)

Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.

Nyumba ni kubwa sana,inauwanja,fremu,Geti,maji,umeme,
Self contained.
Picha zitafuata.
If you interested PM me.
Kwanini haukusubiri upate hizo picha ndio upost?
 
Japo nipo huku Arusha mji wa gharama sana lakini hiyo bei ni kubwa mno,we ni dalali?
Bei kubwa?
Nyumba ya vyumba vinne
Ac
Master bedroom
Fernitures za jikoni nk
Fremu
Fence,maji,umeme
Uwanja
Na mabanda ya uwani
Mita chache tu toka baharini
Laki 4.5 kubwa?
Na maelewano yapo

Nimeandika hapo mie sio Dalali ni muhusika
 
Kwanini haukusubiri upate hizo picha ndio upost?
Unataka?
Pics utazipata mkuu,na ata ukiwa tayari kwenda kuiona ni free mie sio Dalali ,ni mwenyewe
Kwenye simu humu Nina videos clips ambazo ni kubwa sana na hazijapigwa vizuri.
Karibu.
 
Km maelezo yako hujaongeza Chumvi...! Weka picha me nije niione sasa hv. Lkn ufanye laki 4 na nikulipe kodi ya miezi 3. Kuna umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo na nyumba ilipo???
 
Ungeweka picha ingependeza zaidi, naishi ununio beach but nataka kuhama hii nyumba ninayokaa, so please weka picha na details zingine naweza kuwa interested, hope km mtu analipa for long term Bei itapungua
 
Mtoa mada ungeweka picha watu tungeitathmini ukisema tu iko karibu na bahari na ina AC na fremu haitoshi. Weka picha watu wathaminishe ndio maana wanhisi wewe ni dalali kwa kuwa kama nyumba ni mali yako unakosaje picha
 
Bei kubwa?
Nyumba ya vyumba vinne
Ac
Master bedroom
Fernitures za jikoni nk
Fremu
Fence,maji,umeme
Uwanja
Na mabanda ya uwani
Mita chache tu toka baharini
Laki 4.5 kubwa?
Na maelewano yapo

Nimeandika hapo mie sio Dalali ni muhusika

Hiyo AC i basic need kwa mahitaji ya mtu aliyeko Dar.. hapo kwa maelewano ni sawa frem unaziacha kwa ajili ya anaepangisha nyumba?
 
Bei kubwa?
Nyumba ya vyumba vinne
Ac
Master bedroom
Fernitures za jikoni nk
Fremu
Fence,maji,umeme
Uwanja
Na mabanda ya uwani
Mita chache tu toka baharini
Laki 4.5 kubwa?
Na maelewano yapo

Nimeandika hapo mie sio Dalali ni muhusika
Ac si umeme wa mpangaji au unalipia umeme wewe?Ni ghali mkuu hiyo nyumba laki 3 na kodi ni miezi mi3 tu sio 6.
 
Km maelezo yako hujaongeza Chumvi...! Weka picha me nije niione sasa hv. Lkn ufanye laki 4 na nikulipe kodi ya miezi 3. Kuna umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo na nyumba ilipo???
Ok,nawekaa.now nimesema na video clip
Umbali ni km 1 toka bmoyo road
Na nusu kilomita toka bahari beach
 
715f4a0f9326153e391eee549f2072fa.jpg
d7248c67ad51e85e8bb5598bc3c482e8.jpg
 
Back
Top Bottom