House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

Mtu anasema laki 4.5 nyingi? nyumba iko few metres toka baharini,
Huku watu wanapangiswa kwa dollars
Me nataka laki nne na nusu tu na haina shida,
miezi mitatu huchukui?
 
Ina deserve, location ilipo full kipupwe Cha bahari,
Ulisikia wapi Dar hasa Tegeta huku Kuna nyumba nzima kwa laki?
Labda huko ulipo
Anyway tusipangiane kama wewe ulivo kua unauza S7 kwa 1.1m kwa mie hiyo ata kwa laki mbili sinunui coz nasafiri na nauwezo wa kupata yeyote kwa half price ya iyo yako so ni uchaguzi wa mtu
Mwingne hii laki nne na nusu anaona napangisha nyumba nzuri hivi kwa Bei rahisi hivi
Najua unaleta ujuaji tu tafuta ata fremu huko uswekeni kwa laki yako
Mwanzoni ulikuwa na busara kumu-ignore huyo mtoto. Busara umeipotezea wapi?
 
Tabia zako zinafanana sana na vijana wanaoishi kwa shemeji zao ambao hawajui kuhusu house rent na bills nyingine.
Samahani kama hauishi kwa shemeji yako lakini.
Unamwomba samahani kwa kumwambia ukweli? Tegeta chumba kimoja cha kawaida watu wanalipa 80K kwa mwezi kiroho safi kabisa. Afu nyumba kama hiyo eti uikodishe kwa laki? Si heri uifanye kituo cha watoto yatima wakae bure upate baraka za Mungu?
 
Hivi wanaolalama kuhusu bei ni kwamba hawajui gharama za kupanga kwa sasa au?

Huko mwenge pamoja na mafujo na mauchafu yote vyumba chini ya 80 elfu hupati.

Sasa jumba lote hilo,eneo kubwa la kutosha kufanya mambo yako unalalama bei.

Mkuu wanaotaka bei ya chini waelekeze tandale, nyumba na choo milango inaangaliana!
 
Salaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)

Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.

Nyumba ni kubwa sana,inauwanja,fremu,Geti,maji,umeme,
Self contained.
Picha zitafuata.
If you interested PM me.
Nikushauri tu kama una mpango wa kufanya nyumba iwe ya biashara ,igawanye mara mbili tena kwa muonekano ni rahisi kugawanyika kisha pangisha laki tatu tatu ,utakuwa unapata wapangaji kwa urahisi na hela kubwa zaidi. Itakuwa
 
Jf kiboko unapangisha nyumba watu wanataka gari tena na kashfa juu
Unaweza ulizwa na hiyo migomba inazaa?
Ni kuvumiliana tu humu
Sehemu nzuri sana kama ni karibu na bahari
 
Back
Top Bottom