LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
miezi mitatu huchukui?Mtu anasema laki 4.5 nyingi? nyumba iko few metres toka baharini,
Huku watu wanapangiswa kwa dollars
Me nataka laki nne na nusu tu na haina shida,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miezi mitatu huchukui?Mtu anasema laki 4.5 nyingi? nyumba iko few metres toka baharini,
Huku watu wanapangiswa kwa dollars
Me nataka laki nne na nusu tu na haina shida,
DalaliUnaishi dar kweli?
Kama unaishi dar huwez shangaa hiyo kodi kwa maeneo hayo. Nyumba kama hiyo mbagala inaweza kua laki mbili.
Ilikua inaanzia mwaka, kulingana na hali hadi sita nachukuamiezi mitatu huchukui?
Nimekusoma bossusikonde nachangamsha tu genge ila hiyo nyumba kodi hiyo ni kawaida tu sio kubwa kivile nyumba ina nafasi
Mwanzoni ulikuwa na busara kumu-ignore huyo mtoto. Busara umeipotezea wapi?Ina deserve, location ilipo full kipupwe Cha bahari,
Ulisikia wapi Dar hasa Tegeta huku Kuna nyumba nzima kwa laki?
Labda huko ulipo
Anyway tusipangiane kama wewe ulivo kua unauza S7 kwa 1.1m kwa mie hiyo ata kwa laki mbili sinunui coz nasafiri na nauwezo wa kupata yeyote kwa half price ya iyo yako so ni uchaguzi wa mtu
Mwingne hii laki nne na nusu anaona napangisha nyumba nzuri hivi kwa Bei rahisi hivi
Najua unaleta ujuaji tu tafuta ata fremu huko uswekeni kwa laki yako
Analazimisha nimjibu on his own way of understanding mkuu.Mwanzoni ulikuwa na busara kumu-ignore huyo mtoto. Busara umeipotezea wapi?
Unamwomba samahani kwa kumwambia ukweli? Tegeta chumba kimoja cha kawaida watu wanalipa 80K kwa mwezi kiroho safi kabisa. Afu nyumba kama hiyo eti uikodishe kwa laki? Si heri uifanye kituo cha watoto yatima wakae bure upate baraka za Mungu?Tabia zako zinafanana sana na vijana wanaoishi kwa shemeji zao ambao hawajui kuhusu house rent na bills nyingine.
Samahani kama hauishi kwa shemeji yako lakini.
UkuwadiUnalipa balaa
Mmmh. Happy New YearUkuwadi
Mmmh. Happy New Year
Ninayo kweli. Ya chips za huko unapoishiUna hamu wewe
Ninayo kweli. Ya chips za huko unapoishi
Nikushauri tu kama una mpango wa kufanya nyumba iwe ya biashara ,igawanye mara mbili tena kwa muonekano ni rahisi kugawanyika kisha pangisha laki tatu tatu ,utakuwa unapata wapangaji kwa urahisi na hela kubwa zaidi. ItakuwaSalaam,
Kama kichwa Cha thread kinavyojieleza napangisha nyumba nzima ipo Tegeta Nyaishozi,(sio Dalali)
Bei ni laki 4.5 kwa mwezi.
Maelewano yapo.
Nyumba ni kubwa sana,inauwanja,fremu,Geti,maji,umeme,
Self contained.
Picha zitafuata.
If you interested PM me.
Laki umeuwa mkuu au hujui bei za Nyumba za kupanga. Mara nyingi hiyo bei unayosema ni ya chumba na sebule.Mkuu sijakatisha tamaa ila nimemaanisha kwaiyo kodi iyo sio nyumba ni pagazi!
Ila angesema anapangisha laki kwa mwezi nisingesema kama ni pagazi
Hapana naishi ChatoUnaishi dar kweli?
Kama unaishi dar huwez shangaa hiyo kodi kwa maeneo hayo. Nyumba kama hiyo mbagala inaweza kua laki mbili.
Chato kwenye mataa zinasimama punda. Lakini dar kwenye mataa magari husimama. So kuna tofauti kubwa hapoHapana naishi Chato