House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

Mtu anasema laki 4.5 nyingi? nyumba iko few metres toka baharini,
Huku watu wanapangiswa kwa dollars
Me nataka laki nne na nusu tu na haina shida,
miezi mitatu huchukui?
 
Mwanzoni ulikuwa na busara kumu-ignore huyo mtoto. Busara umeipotezea wapi?
 
Tabia zako zinafanana sana na vijana wanaoishi kwa shemeji zao ambao hawajui kuhusu house rent na bills nyingine.
Samahani kama hauishi kwa shemeji yako lakini.
Unamwomba samahani kwa kumwambia ukweli? Tegeta chumba kimoja cha kawaida watu wanalipa 80K kwa mwezi kiroho safi kabisa. Afu nyumba kama hiyo eti uikodishe kwa laki? Si heri uifanye kituo cha watoto yatima wakae bure upate baraka za Mungu?
 
Hivi wanaolalama kuhusu bei ni kwamba hawajui gharama za kupanga kwa sasa au?

Huko mwenge pamoja na mafujo na mauchafu yote vyumba chini ya 80 elfu hupati.

Sasa jumba lote hilo,eneo kubwa la kutosha kufanya mambo yako unalalama bei.

Mkuu wanaotaka bei ya chini waelekeze tandale, nyumba na choo milango inaangaliana!
 
Nikushauri tu kama una mpango wa kufanya nyumba iwe ya biashara ,igawanye mara mbili tena kwa muonekano ni rahisi kugawanyika kisha pangisha laki tatu tatu ,utakuwa unapata wapangaji kwa urahisi na hela kubwa zaidi. Itakuwa
 
Mkuu sijakatisha tamaa ila nimemaanisha kwaiyo kodi iyo sio nyumba ni pagazi!

Ila angesema anapangisha laki kwa mwezi nisingesema kama ni pagazi
Laki umeuwa mkuu au hujui bei za Nyumba za kupanga. Mara nyingi hiyo bei unayosema ni ya chumba na sebule.
 
Jf kiboko unapangisha nyumba watu wanataka gari tena na kashfa juu
Unaweza ulizwa na hiyo migomba inazaa?
Ni kuvumiliana tu humu
Sehemu nzuri sana kama ni karibu na bahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…