House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

House4Rent Napangisha nyumba nzima Tegeta

368e596921d67ebbb12029a9e4cfa0a6.jpg
 
Km maelezo yako hujaongeza Chumvi...! Weka picha me nije niione sasa hv. Lkn ufanye laki 4 na nikulipe kodi ya miezi 3. Kuna umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo na nyumba ilipo???
Miezi mitatu unauwa boss
 
Mtu anasema laki 4.5 nyingi? nyumba iko few metres toka baharini,
Huku watu wanapangiswa kwa dollars
Me nataka laki nne na nusu tu na haina shida,
Tegeta gani ya Nyaishozi ipo few meters karibu na Bahari? Maana kutoka Tegeta Kuitafuta Bahari(Kunduchi) ni zaidi ya Km 4 hadi 8....Weka Picha Nina watalii huku Arusha wanakuja DSM kama ipo Baharini wanaweza mkafanya biznes.
 
Ungeweka picha ingependeza zaidi, naishi ununio beach but nataka kuhama hii nyumba ninayokaa, so please weka picha na details zingine naweza kuwa interested, hope km mtu analipa for long term Bei itapungua
Sure,we can discuss
Picha tayari
 
Mtoa mada ungeweka picha watu tungeitathmini ukisema tu iko karibu na bahari na ina AC na fremu haitoshi. Weka picha watu wathaminishe ndio maana wanhisi wewe ni dalali kwa kuwa kama nyumba ni mali yako unakosaje picha
Dalali kwenye changu mkuu?
Picha tayari nasafiri Sana mkuu that why sikua na picha ,
 
Hiyo AC i basic need kwa mahitaji ya mtu aliyeko Dar.. hapo kwa maelewano ni sawa frem unaziacha kwa ajili ya anaepangisha nyumba?
We can discuss
AC ni basic but I guarantee you robo tatu ya nyumba za Dar na zaidi hazina
 
Tegeta gani ya Nyaishozi ipo few meters karibu na Bahari? Maana kutoka Tegeta Kuitafuta Bahari(Kunduchi) ni zaidi ya Km 4 hadi 8....Weka Picha Nina watalii huku Arusha wanakuja DSM kama ipo Baharini wanaweza mkafanya biznes.
Sio ya kunduchi kaka,karibu na mnara wa Tigo
Unaweza shuka nyaishozi au Nyuki then ukichukua bodaboda ni buku
 
Back
Top Bottom