Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,

Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.

Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi gani na kula kitimoto, au nacho kimefichwa ili iwe surprise ya kushushia hizo pombe mbinguni ?

Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa kwasababu ina madhara mengi

  • Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
  • Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
  • Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
  • addiction / uraibu
  • imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
  • Kuzima
  • Kutembea kwa kupepesuka bila balance
  • kujisaidia hadharani
  • Maumivu ya kichwa
  • Magonjwa ya figo, presha, kansa, n.k.

Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?

View attachment 2594036
Mbona pombe haijakatazwa? Kilichokatazwa si pombe bali kileweshi. 2.5 of ethonal and above haituhusi hapa duniani na huko peponi.

Kule utapata pombe tamu kama hapa duniani. Less than 2%
 
Mbonguni itakua ni mahala pa kupigana miti tuu usiku kucha. Yaani mbinguni itakua kama danguro, inanuka nyapu kila mahala maana kila mwanaume kupata mabikra 72, zidisha idadi ya wanaume wote Duniani toka Dunia imeumbwa si itakua balaa.

Na Quran tukufu inasema utapewa mabikra 72 wenye macho mazuri, maumbile mazuri na watamu, kisha utapewa nguvu za kutumia wanawake 100 ila utakua nao 72 so una reserve energy ya wanawake 28.

Mimi binafsi kazi itakua ni kula nyapu tu 24/7.
Wamama wao watapewa nini?
 
Back
Top Bottom