Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Allah ni character katika hadithi ya kutungwa na watu tu.Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.
Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe?
Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa hasa kwasababu hupunguza uwezo wa akili kufanya maamuzi yenye staha, haya ni baadhi ya madhara ya pombe
- Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
- Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
- Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
- addiction / uraibu
- imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
- Kuzima
- Kutembea kwa kupepesuka bila balance
- kujisaidia hadharani
- Maumivu ya kichwa
Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?
View attachment 2594036
Kwenye uhalisia, nje ya hizo hadithi, hayupo.
Ukishaelewa hilo, hizo contradictions nyingine zoote utazielewa zimekuwapo vipi.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app