Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Mambo gani sasa haya mkuu [emoji3][emoji3]Mkuu jaribu hii kitu siku moja hutajuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji200]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo gani sasa haya mkuu [emoji3][emoji3]Mkuu jaribu hii kitu siku moja hutajuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji200]
Hapa NABISHA!! tukigonga hio kitu tuna amani sana unaweza piga stori na total stranger fureeshi na.mkapeana michongohumfanya mtu awe na hasira za haraka
Weeh Mwachee tuu ajitoe akili!!!🐖🐖🐖hili jamaa nilitamu mnoo huku ukiwa unagida pombe!!!Usisahau pombe huwa inashuka poa na kitimoto 😂
Divai ni kama chemikolaKwamba divai siyo mvinyo!?
Mkuu ushatamani 😅😅😅Mambo gani sasa haya mkuu [emoji3][emoji3]
Mtu akikuzingua ukiwa tungi unapata hasira za haraka maana unakuwa na nguvu kidogo ya kuji controll.Hapa NABISHA!! tukigonga hio kitu tuna amani sana unaweza piga stori na total stranger fureeshi na.mkapeana michongo
Ila sio mimi 😎, this is happening now and avery evening baada ya kutoka jobMtu akikuzingua ukiwa tungi unapata hasira za haraka maana unakuwa na nguvu kidogo ya kuji controll.
Anger controll huwa tunaweza imudu kirahisi tukiwa sober tofauti na tukiwa tumelewa.
Unamdanganya nani!?Divai ni kama chemikola
Hapana huyu sio wa mchongo,sema tu anasema vitu ambavyo watu hawataki kuvisikia masikioni mwao,ila huyu mimi namkubali sana,hanaga unafiki
I love Allah and his beloved prohet soooo muuuchh. A billion kisses for them mwaaah mwaaah mwaah 😘😘😘😘💕💕💕❤️❤️Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.
Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe?
Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa hasa kwasababu hupunguza uwezo wa akili kufanya maamuzi yenye staha, haya ni baadhi ya madhara ya pombe
- Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
- Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
- Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
- addiction / uraibu
- imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
- Kuzima
- Kutembea kwa kupepesuka bila balance
- kujisaidia hadharani
- Maumivu ya kichwa
Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?
View attachment 2594036
Na hao mabikra hawana marindaUkiachana mito ya pombe kuna mabikra 72
Hao mabikra ni kwajili ya mapishi ama ?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.
Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe?
Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa hasa kwasababu hupunguza uwezo wa akili kufanya maamuzi yenye staha, haya ni baadhi ya madhara ya pombe
- Huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
- Ugomvi - hupunguza uwezo wa kucontroll hasira.
- Kutukana matusi - Mdomo utasema unachotaka
- addiction / uraibu
- imefanya wengi kufukuzwa kazini hadi mawaziri
- Kuzima
- Kutembea kwa kupepesuka bila balance
- kujisaidia hadharani
- Maumivu ya kichwa
Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?
View attachment 2594036
Qur'an 47:15Hii kuhusu Pombe peponi imeandikwa wapi kwenye Quran?