inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mathew 26:29Wewe shida yako nini sasa ?
Ndio wameambiwa hivyo kuwa pamoja na mambo mengine mito ya pombe itakuwepo kwa ajiri yao.
Join or ignore them.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mathew 26:29Wewe shida yako nini sasa ?
Ndio wameambiwa hivyo kuwa pamoja na mambo mengine mito ya pombe itakuwepo kwa ajiri yao.
Join or ignore them.
wa mchongo huyo itakuwa alivamia usheheMwenye video ya Shekhe Kipozeo akisema Mbinguni tutaikuta pombe na tutagida,tena tamu kweli kweli sio kama mipombe ya hapa Duniani michungu,
Aipandishe ile video hapa tafadhari
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vichekeshoo kwa kweli.Huku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Usisahau pombe huwa inashuka poa na kitimoto 😂
Ni kuchaguwa tu,uwende upande wa kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwaHuku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Mbonguni itakua ni mahala pa kupigana miti tuu usiku kucha. Yaani mbinguni itakua kama danguro, inanuka nyapu kila mahala maana kila mwanaume kupata mabikra 72, zidisha idadi ya wanaume wote Duniani toka Dunia imeumbwa si itakua balaa.Huku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Matayo 26:29,yesu atakunywa pombe kwenye ufalme wa baba yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vichekeshoo kwa kweli.
Kila siku unaleta mada ya uisilamu mbona uleti mada ya ukirisito au kwa sababu ni imani yakoSijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa.
Binasfi hapa nimetathmini sana na nimepandwa na hasira, Kilicho haramu kikiruhusiwa mbinguni kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe?
Naumiza kichwa na nashindwa kupata jibu, nijuavyo mimi pombe ilikaazwa hasa kwasababu hupunguza uwezo wa akili kufanya maamuzi yenye staha
-huchochea uzinzi (huwa inashuka chini)
-humfanya mtu awe na hasira za haraka
-watu huanza kutukana mitaani bila aibu
-hujenda uraibu, mtu anaweza aibe ili anywe pombe
-inachota utimamu kiasi kupelekea wengi kufukuzwa kazini
Tuajadiliane Hali hii ni vipi na inakuwaje sawa kwa Allah kuweka majaribu mbinguni?
View attachment 2594036
[emoji23][emoji23]wanaenda kupata malipo ya uvumilivu wao hapa dunianiHuku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Ni kuchaguwa tu,uwende upande wa kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwaHuku duniani wameambiwa uzinzi ni dhambi ila mbinguni wataenda kupewa mabikira sabini na wawili kila mmoja wazini nao milele
Umemaliza mjadala.Kumbe upande wa pili pia watakuwa na pombe,hawasomi maandiko.Mathayo 26:29
Ninawahakikishia sitokunywa Tena mvinyo wa mzabibu mpaka siku nitakapokunywa pamoja nanyi katika ufalme wa baba
Kwamba divai siyo mvinyo!?Mathayo 26:29 BHN
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Tatizo hawasomi maandiko yao,wanavamia maandiko ya waislamu,kumbe hata kwenye maandiko yao,Pombe iko mbinguni.Mathayo 26:29 BHN
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Adam na Hawa walikua wakifanya nini mbinguni!?Mbonguni itakua ni mahala pa kupigana miti tuu usiku kucha. Yaani mbinguni itakua kama danguro, inanuka nyapu kila mahala maana kila mwanaume kupata mabikra 72, zidisha idadi ya wanaume wote Duniani toka Dunia imeumbwa si itakua balaa.
Na Quran tukufu inasema utapewa mabikra 72 wenye macho mazuri, maumbile mazuri na watamu, kisha utapewa nguvu za kutumia wanawake 100 ila utakua nao 72 so una reserve energy ya wanawake 28.
Mimi binafsi kazi itakua ni kula nyapu tu 24/7.
Nashangaa mtoa mada hasemi lolote na nimem-reply!!..huko aliko anapitia andiko Mara kumikumi jicho limemtoka Kama mjusiNi kuchaguwa tu,uwende upande wa kupakatwa na Ibrahimu,kama alivyopakatwa
Lazaro.
Umemaliza mjadala.Kumbe upande wa pili pia watakuwa na pombe,hawasomi maandiko.
Mkuu jaribu hii kitu siku moja hutajuta 😅😅😅😅😅🐷kuna utofauti upi sasa wa watu kula likitimoto lenye mifuta wakishushia na hizo pombe
Pamoja na kwamba sitaki kujibu hoja yako moja kwa moja ila nikupe tu taarifa kuwa; watu watakao kuwa Mbinguni watakuwa tofauti na hawa waliopo DunianiSijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,