Kabla ya yote inabidi ujue haya maneno
1/Haramu
2/Dhambi
3/Kosa
4/Matusi
5/Kufuru
6/Na vitu vyote vibaya
Hivi vitu ni vya hapa tu Duniani, Dunia ni sehemu ya mtihani hivi vitu umewekewa Kama mtihani uweze kufudhu POMBE ni nzuri, tamu na ina sterehesha ila umeambiwa usinywe Ni haram Kama mtihani hapa Duniani ufudhu ila pombe hiohio inaweza kuwa peponi ikawa halali kabisa
Peponi hakuna makosa, dhambi, haramu nk neno zinaa, uzinzi, matusi ni vitu vya Duniani tu kupewa mitihani...njaa, misukosuko, ugumu wa maisha, jobless, kuyumba kwa mtaji, kuoigana, hasira vyoooote havipo peponi peponi ni sehemu ya malipo, starehe na kula bata tu.
Kitu kingine inabidi ujue maisha ni kesho peponi/motoni yaani kimsingi ukipima muda tunaoishi Duniani mfano kwa Sasa wengi maximum Ni miaka 100 tunakufa ila peponi tunaishi zaidi ya miaka 1000000000000000+ yaani ni hakuna kikomo na katika miaka hio isiyo na kikomo Kama pombe unakunywa, utafanya Mapenzi na wanawake wengi zaidi ya 20 Sasa nikuulize ujanywa pombe kwa muda wa miaka 80 Duniani ila unakunywa pombe kwamuda wa miaka 100000000000000+ (isiyo na kikomo peponi) je hapo pombe Ni halamu au halali jibu[emoji116]
Pombe ni halali ila kwa muda huu mfupi hapa Duniani Mungu ameichagua iwe moja ya mtihani kati ya mitihani ambayo tumepewa tujizuie kufanya/kutumia.....means kwa mwenye imani na anayependa kweli pombe ni yule anayejizuia hapa Duniani kwa muda wa miaka 70,80 hili akainywe kwa miaka isiyo na kikomo.