kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
-
- #121
Baada ya kuleta uzi wa mama yangu kumkataa, watu wengi walinikejeli bila kujua sababu ni nini, ila sasa nimepata uhakika kwamba Mama yangu hakukoseaMtu mwenye tabia zinazotia mashaka sio wa kukaa naye.We endelea kukaza fuvu,yawezekana mama yako roho imemkataa,mimi pia nikimkataa mtu at first sight ujue kuna shida
KwishaHabarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.
Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.
Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.
Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.
Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.
Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
mmmh sasa wew bado sana , kwan mshirikina unadhan lazm achkue matsht yako au sperms mmh pole lkn ila umejianika mno naww sasa kila kitu ku shareHabarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.
Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.
Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.
Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.
Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.
Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Kaka ang mzuri una umri gani mwaya 🏃♀️Baada ya kuleta uzi wa mama yangu kumkataa, watu wengi walinikejeli bila kujua sababu ni nini, ila sasa nimepata uhakika kwamba Mama yangu hakukosea
Sio kama nimejianika, ila Jf kwangu ni kama kitabu cha maisha yangu, naandika masahibu yangu nikijua ipo siku nitasoma na kukumbuka nyakati za nyuma kwenye maisha yangu.mmmh sasa wew bado sana , kwan mshirikina unadhan lazm achkue matsht yako au sperms mmh pole lkn ila umejianika mno naww sasa kila kitu ku share
Umri unaotosha kupata mtoto 😁Kaka ang mzuri una umri gani mwaya 🏃♀️
Anakuroga huyo.Kina mmoja tulikuwa tukimaliza haogi walla kujifuta .Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.
Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.
Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.
Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.
Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.
Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Well. vizur pia itakusaidiaSio kama nimejianika, ila Jf kwangu ni kama kitabu cha maisha yangu, naandika masahibu yangu nikijua ipo siku nitasoma na kukumbuka nyakati za nyuma kwenye maisha yangu.
kwakwel nilihisi hivyo .Umri unaotosha kupata mtoto 😁
Nimemuwahi, ningechelewa saivi ningekuwa zuzuAnakuroga huyo.Kina mmoja tulikuwa tukimaliza haogi walla kujifuta .
Sahihi kabisaWell. vizur pia itakusaidia
Lakini sasa nadhani umeelewa kwanini nataka mtoto akae karibu na mimikwakwel nilihisi hivyo .
Nadhani lengo lake halikuwa kuzusha ubakaji, labda alikuwa na malengo mengineKaulize kilicho mkuta Clinton na bi Monica Lewinsky, ushihidi ulitoka kwenye majimaji yaliyobaki kwenye chupi. Sasa wewe anachota na kitambaa kabisa. Hapa akikuzushia umembaka unachomoa vipi.
Lakini sasa nadhani umeelewa kwanini nataka mtoto akae karibu na mi
Kwa akil zako hzo mwachie tu mama mtu alee ad ukue nawwLakini sasa nadhani umeelewa kwanini nataka mtoto akae karibu na mimi
Sawa, naomba nikuulize wewe ni Me au Ke?Kwa akil zako hzo mwachie tu mama mtu alee ad ukue naww
🤨Dah, mkuu umesema jambo ambalo sikuwahi kulisikia maisha yangu yote, kwamba anaweza akanimaliza kiasi hicho, alafu ukizingatia kwa sasa hatupo sawa🤔Pole,mambo ya ulonzi hayo...kinachofatia utakua usimamishi uume ukiwa na mwanamke mwingine tofauti na yeye...from experience...,kujinasua sasa ni kasheshe
Yaani la kwanza kabisa mteme,huo ni uchawi wa kinyamwezi na huo ukanda maeneo yanoyo zunguka,Mwanangu mmoja aliteseka sana karibia ajiue,sumu ya panya ilikua chini ya siti ya gari..kuongea kama hivi kwa wadau ndo akajua tatizo lipo wapi akaanza recall matukio ndo kugundua wa kwake anaweka kwenye chungu baada ya kumfuta na kukifunika,....alikaa miezi 9 mashine haijasimama kwa WIFE..🤨Dah, mkuu umesema jambo ambalo sikuwahi kulisikia maisha yangu yote, kwamba anaweza akanimaliza kiasi hicho, alafu ukizingatia kwa sasa hatupo sawa🤔
Kujinasua nikipiga maombi naweza kukwepa hilo?