Napata mshahara ila unaisha ndani ya wiki mbili au tatu, naishia kukopa

Nitumie namba yako pm nikupe ushauri
 
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.

Nilisoma TZ kidg nikahamia marekani. Nilisoma level zote ke na hadi chuo.

Nimeamua kuja nchi ya amani. Naipenda sana Tanzania. Ninafanyakaz nzur tu. Na ninapata pesa. Kwa marekani matumizi ni ya juu. Nikiwa tz kwa wastani wa Tsh milioni 3 kwa mwezi ni pesa ambayo naimaliza kwa wiki 2 hadi 3. Kiufupi mimi sina jidhamu ya pesa kule marekani nikinunua Pombe za mwez mmoja inatosha ila huku hairoshi. Sabab ni kipato pesa ninayopata kwa mwezi haitoshelezi matumizi makubwa hasa nikifanya manunuzi sehem ghali kama mlimani City nk.

Hiyo ni brief fupi kuhusu cash and purchases monthly.

Wiki mojaniliuopita niliamua kutafuta kazi kampuni nyingine walau nipate 5mil p/m labda itanitosheleza. Ndg zangu nchi inaamani sana na maisha ni wewe mwenyewe. Nipo hapa naona amani ni moyo sio pesa. Ila nimefanya research hata hata serikalini ningeomba kazi ila nllabda kama ningekuwa mkuu.wa idara ila posho ya HoD ni chini milioni labda benki kuu nk.

Kikafanya research sector mbalimbali nikaambulia hali ngumu na ndio maana rais wa Tanzania lazma awe kama magufuli na ndio maana mama anampenda makonda. Niwambie mama hashindwi kumpa makonda PM.

Viongozi baadhi ni wezi wanajitajirisha sana na mimi kwa mawazo yangu raisi wa Tanzania wapende watumishi wa umma. Ukiwajali na sector binafsi watawajali watumishi wao hata House girl anaweza akalipwa 500,000.

This is a brief statement from me maina.

Niende kweny hoja.

Napata mshahara ila unaisha 2 hadi 3 week. 4th weeks naishia kukopa. Nisaidieni ushauri
Ukamatwe haraka upelekwe milembe.
 
Wizi mtupu, umekuwa ki a kili, unapata kazi kirahisi lakini huna elimu ya finances.
 
Watu wana master plan kali sana. Huu uzi utaondoka na mtuu.

#Hilinalomkalitizame.
 
He joined on 18th of december 2023 and disappeared two days later
 
Kuna majina ya watu wajinga wajinga, yamebadilika kuwa sehemu ya maneno kwenye lugha yetu ya kiswahili hapa Tanzania, kama vile kishoyiha, mvimbo, na kilaza... Tumepata jipya sasa... Maina.... Ila wewe siyo mkenya kweli?
[emoji28][emoji28][emoji28]

Umenikumbusha kuna raia anaitwa MAINA OKUYU yupo Kisumu!!!
 
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.

Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia Marekani. Nilisoma level zote ke na hadi chuo.

Nimeamua kuja nchi ya amani. Naipenda sana Tanzania. Ninafanya kazi nzuri tu. Na ninapata pesa. Kwa Marekani matumizi ni ya juu. Nikiwa tz kwa wastani wa Tsh milioni 3 kwa mwezi ni pesa ambayo naimaliza kwa wiki 2 hadi 3. Kiufupi mimi sina jidhamu ya pesa kule marekani nikinunua Pombe za mwez mmoja inatosha ila huku hairoshi. Sabab ni kipato pesa ninayopata kwa mwezi haitoshelezi matumizi makubwa hasa nikifanya manunuzi sehem ghali kama mlimani City nk.

Hiyo ni brief fupi kuhusu cash and purchases monthly.

Wiki mojaniliuopita niliamua kutafuta kazi kampuni nyingine walau nipate 5mil p/m labda itanitosheleza. Ndg zangu nchi inaamani sana na maisha ni wewe mwenyewe. Nipo hapa naona amani ni moyo sio pesa. Ila nimefanya research hata hata serikalini ningeomba kazi ila nllabda kama ningekuwa mkuu.wa idara ila posho ya HoD ni chini milioni labda benki kuu nk.

Kikafanya research sector mbalimbali nikaambulia hali ngumu na ndio maana rais wa Tanzania lazma awe kama magufuli na ndio maana mama anampenda makonda. Niwambie mama hashindwi kumpa makonda PM.

Viongozi baadhi ni wezi wanajitajirisha sana na mimi kwa mawazo yangu raisi wa Tanzania wapende watumishi wa umma. Ukiwajali na sector binafsi watawajali watumishi wao hata House girl anaweza akalipwa 500,000.

This is a brief statement from me maina.

Niende kweny hoja.

Napata mshahara ila unaisha 2 hadi 3 week. 4th weeks naishia kukopa. Nisaidieni ushauri
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Nimekuja kupata mwongozo,
Ingawa kuna kampeni ndani ya uzi.
Aidha, malejendari wa JF hawashindwi kusema kuna kitu cha TATEPA kwenye huu uzi.
 
Mbona umezunguka mbuyu mwenyewe ukihisi kma labda yupo anayefukuza...Marekani kuna maisha mazuri na pesa nyingi ulikuwa unaipata inayokutosheleza mahitaji Yako na amani pia ipo sasa kwanini uje Tanzania ambako Unapata pesa ndogo ambayo haikidhi mahitaji Yako?

Labda unataka ukomae huku jf sawa ila sio msaada wa mawazo kwenye matumizi ya pesa
 
Back
Top Bottom