Napata mshahara ila unaisha ndani ya wiki mbili au tatu, naishia kukopa

Nitumie namba yako pm nikupe ushauri
 
Ukamatwe haraka upelekwe milembe.
 

Wizi mtupu, umekuwa ki a kili, unapata kazi kirahisi lakini huna elimu ya finances.
 
Watu wana master plan kali sana. Huu uzi utaondoka na mtuu.

#Hilinalomkalitizame.
 
He joined on 18th of december 2023 and disappeared two days later
 
Kuna majina ya watu wajinga wajinga, yamebadilika kuwa sehemu ya maneno kwenye lugha yetu ya kiswahili hapa Tanzania, kama vile kishoyiha, mvimbo, na kilaza... Tumepata jipya sasa... Maina.... Ila wewe siyo mkenya kweli?
[emoji28][emoji28][emoji28]

Umenikumbusha kuna raia anaitwa MAINA OKUYU yupo Kisumu!!!
 
 
Nimekuja kupata mwongozo,
Ingawa kuna kampeni ndani ya uzi.
Aidha, malejendari wa JF hawashindwi kusema kuna kitu cha TATEPA kwenye huu uzi.
 
Mbona umezunguka mbuyu mwenyewe ukihisi kma labda yupo anayefukuza...Marekani kuna maisha mazuri na pesa nyingi ulikuwa unaipata inayokutosheleza mahitaji Yako na amani pia ipo sasa kwanini uje Tanzania ambako Unapata pesa ndogo ambayo haikidhi mahitaji Yako?

Labda unataka ukomae huku jf sawa ila sio msaada wa mawazo kwenye matumizi ya pesa
 
Jipange uje kuchukua fomu ya kugombea uraisi wa JMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…