Napata mshahara ila unaisha ndani ya wiki mbili au tatu, naishia kukopa

Mbona wiki 2 nyingi sana mkuu...πŸ€”
Wengine kwa huo mshahara hua unaisha ndani ya siku 5, kisha tunaanza kuishi kimipango mipango, unga ungamwana...😜
 
Mkuu name calling hairuhusiwi
 
Mbona wiki 2 nyingi sana mkuu...πŸ€”
Wengine kwa huo mshahara hua unaisha ndani ya siku 5, kisha tunaanza kuishi kimipango mipango, unga ungamwana...😜
Mim naishi ki amapiano siku zote hadi tarehe 30
 
Hakukuwa na haja ya kueleza umesoma Mmarekani. Mmarekani wa mchongo
 
Miaka 23 ameajiriwa afu analipwa mshahara 3 millions πŸ€” hii kahawa kabisa chungu😌
 
Mbona wiki 2 nyingi sana mkuu...πŸ€”
Wengine kwa huo mshahara hua unaisha ndani ya siku 5, kisha tunaanza kuishi kimipango mipango, unga ungamwana...😜
Siku Tano nyngi mkuu Yani mi kabla hujaja ushaisha kitambo
 
Bila kumshirikisha Mungu kwenye haya maisha hutoboi
 
Mbona uandishi wako ni wa mtu wa kajambanani? Massachusetts Institute of Technology itoe product ya hovyo namna hii? Haiwezekani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…