Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Kwa mshahara wa laki 3, bora akapige mishe nyingine.Kwani ukiendelea na ajira huko na biashara huku utashindwa kusimamia?.... Biashara sijui ni upande wangu lkn kwasasa naona ni nzito sana!... Usiache kazi kwanza fikiria namna bora ya kuendesha biashara huku ukiwa kazini.
ThanksYou should Take the Risk, You'll thank yourself later. [emoji4]
AsanteKila la heri katika utekelezaji wa mawazo Yako.
Laki 3 kwa siku ni buku 1?Kwa mshahara wa laki 3, bora akapige mishe nyingine.
Laki 3 means kwa siku anapata buku 1.
Hizo anazo enda piga ana uhakika nazo? Kumbuka hapo ni volunteer tena ana miezi 6 tu3... bora ajibane mbeleni anaweza kuajiriwa Kama atakuwa na juhudi kazini... huku mtaani ana mishe zingine.... Kikubwa aweze tu kusimamia.Kwa mshahara wa laki 3, bora akapige mishe nyingine.
Laki 3 means kwa siku anapata buku 1.
Ajira ninayoifanya ni sawa na bure ujue.Kwani ukiendelea na ajira huko na biashara huku utashindwa kusimamia?.... Biashara sijui ni upande wangu lkn kwasasa naona ni nzito sana!... Usiache kazi kwanza fikiria namna bora ya kuendesha biashara huku ukiwa kazini.
AsanteIkifika suala hilo huitaji ushauri jipange vuzuri tu ujue nini unaenda kufanya after
Sijui kapiga hesabu za wapi...Laki 3 kwa siku ni buku 1?
Asante nimefanya biashara nyingi sana.Naona kama nia unayo lakini sababu hauna...
UShauri tu, kabla ya kuacha kazi panga jambo utalotaka lifanya na namna ya kulifanya...
Nishauri kakaHizo anazo enda piga ana uhakika nazo?Kumbuka hapo ni volunteer tena ana miezi 6 tu3...bora ajibane mbeleni anaweza kuajiriwa Kama atakuwa na juhudi kazini...huku mtaani ana mishe zingine.... Kikubwa aweze tu kusimamia.
Kaka maisha unayo ishi unayajua wewe.... .. kama unaona ukiacha kazi ndo utafanikiwa haraka sawa we acha halafu ingia mtaani uone. Kila la heri.Ajira ninayoifanya ni sawa na bure ujue.
Maana ni saa moja asubuhi hadi saa nne usiku.
So kwa siku lazima nitumie Elfu 5
Chakula 2000
Nauli 1000
Dharura 1000
So Elfu 5 kwa mwezi ni kama 150000
Hapo kodi 60000
Umeme 10000
Maji bili 10000
Jumla kama ya 230000
Nabakiwa na 70000
Kumbuka hapa nina mke njlimweka aende kwao akajifungue.
Nina mke kaka....Jiajiri mwanawane tena na hiyo boda ukipiga kazi mwenyewe mbona unatoboa tuu na mbususu za form four D unakula kiulaini