Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
25,874
Reaction score
36,030
Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia.

Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web.

Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini nafasi yote hii ya Kioo umeziba!

Rudisheni app ya zamani.
 
Attachments

  • Screenshot_20240501-151630.jpg
    Screenshot_20240501-151630.jpg
    239.3 KB · Views: 5
Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia.

Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web.

Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini nafasi yote hii ya Kioo umeziba!

Rudisheni app ya zamani.
App nilishaifuta kabisa kwani ilikuwa kero nilikuwa siwezi kufungua videos, pictures and all other attachments. Kwa sasa natumia Web tu JF kwa hili wajitafakari sana
 
Karibuni kwenye WEB, sikumbuki kama nimeshawahi kuwa na app ya JF kwa kipindi chote ambacho nimekuwa nikitumia huu mtandao.
 
Me kwakweli bado natumia apps ya zamani hii ya browser imenishinda wanisamehe tu
 
App ya Jf ni ujinga sikuhizi siitumii tena maana haina tofauti na browser
Kuna hilo likitu ulilozungushia halafu kuna unaandika mara paap maandishi yamezuiwa na kibodi huoni unachoandika mpaka u-click back kibodi iondoke
 
Mimi kiukweli nikiweka unafiki pembeni, Hii app ya sasa iliyokaa kama browser ndo naona nI the best, Ila ya mwanzoni kwanza ilikua picha au video hazifunguki..ila hii ya sasa iko vizuri sana,
 
Back
Top Bottom