Napata wakati mgumu kukutana na Mke wangu mtarajiwa

Napata wakati mgumu kukutana na Mke wangu mtarajiwa

[daughter;1942176]Excuse my curiosity,but
Are you a Luo or Haya by any chance?

Ukinijibu nitarudi na ushauri]

hahahaa umenichekesha kweli:happy:
mbona hakuna cha kuchekesha hapo
 
tafuta kwa njia ya mtandao,
lunch time kazini,jifunze kwenda sehemu social...zenye watu wengi
kwani mpk jumapili uko busy?
Yule jamaa wa kwenye mtandao hajambo?
 
Kwa hayo uliyosema kupata mke mwema mwenye mapenzi ya kweli sahau
utampata mwenye tamaa na hayo uliyoeleza

badilisha namna ya kutongoza utapata kwa masifa hayo ni ngumu

Kwa hayo uliyosema kupata mke mwema mwenye mapenzi ya kweli sahau
utampata mwenye tamaa na hayo uliyoeleza

badilisha namna ya kutongoza utapata kwa masifa hayo ni ngumu

Jamaa ndio katangaza kutaka mchumba humu kijanja
 
Jamaa ndio katangaza kutaka mchumba humu kijanja

Kwa misifa hiyo atampata nani labda wa tamaa
siku ya kwanza unaanza kujieleza oohh mshahara wangu mara
nyumba, mara mie sijui nini hana maana kwanza hafai
mtu anatakiwa kuona sio kuambiwa
 
Kwa misifa hiyo atampata nani labda wa tamaa
siku ya kwanza unaanza kujieleza oohh mshahara wangu mara
nyumba, mara mie sijui nini hana maana kwanza hafai
mtu anatakiwa kuona sio kuambiwa
Hata kama milioni moja ndio nini bana, atajijua mwenyewe na mdomo wake mzito, hata lifti ameshindwa kutoa njiani wakati anaenda kazini? sijui ni MP maana anaonekana rahisi kuburuzwa
 
Unajua hakuna jambo ambalo limewashnda wengi kama ndoa!huyu kwanza bado mdogo na pia hata hajui mke anapatikanaje na tatu anafhkiri upendo wa kweli unatokana na mali. Asiposikia ushauri mliompa ataambulia kuchunwa
 
Bado hujawa tayari, ukiwa tayari utampata tu pamoja na kuwa bussy namna hiyo.

hata akiwa tayari ndoa yake itakuwa ya shida sana na mke ataondoka ama atakuwa na mabwana wengne maana yaonyesha hatakuwa na muda wa kukaa na mkewe.
 
Unajua hakuna jambo ambalo limewashnda wengi kama ndoa!huyu kwanza bado mdogo na pia hata hajui mke anapatikanaje na tatu anafhkiri upendo wa kweli unatokana na mali. Asiposikia ushauri mliompa ataambulia kuchunwa
 
Kama wewe ni wa nyumbani ofisini na huna 'social contacts' na binti yeyote asiye ndugu wa karibu basi jaribu kuangalia beki tatu hapo nyumbani kama analipa ujibinafsishie.
wazo zuri kiongozi,haya mkatakiu fanyia kazi hilo bonge la idea hapo kwenye red.
 
Huyu ni yule bepari wa ze original komedy nini? Ukitoka kazini ama ukibahatika kupita dar, pitia pale kndoni makaburini utawapata afu unaanza kufanya nao mazoezi kwanza then unaweza kuona mmoja pale!
 
Jana nilizima mpwa valuu chupa 2 na kili 7 dah hapa nahisi kufa kufa.

Kibaya zaidi nilikuwa na gemu mchangani nikaishia kuchezea mausi.

hahahaha nimecheka......damn what a wastage....
 
Dah hii kali a man desperate to get married..........Swali la kizushi, Je hujawahi kumega weye????
 
Back
Top Bottom