Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
mbona hakuna cha kuchekesha hapo[daughter;1942176]Excuse my curiosity,but
Are you a Luo or Haya by any chance?
Ukinijibu nitarudi na ushauri]
hahahaa umenichekesha kweli:happy:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hakuna cha kuchekesha hapo[daughter;1942176]Excuse my curiosity,but
Are you a Luo or Haya by any chance?
Ukinijibu nitarudi na ushauri]
hahahaa umenichekesha kweli:happy:
Yule jamaa wa kwenye mtandao hajambo?tafuta kwa njia ya mtandao,
lunch time kazini,jifunze kwenda sehemu social...zenye watu wengi
kwani mpk jumapili uko busy?
Jamaa ndio katangaza kutaka mchumba humu kijanjaKwa hayo uliyosema kupata mke mwema mwenye mapenzi ya kweli sahau
utampata mwenye tamaa na hayo uliyoeleza
badilisha namna ya kutongoza utapata kwa masifa hayo ni ngumu
Jamaa ndio katangaza kutaka mchumba humu kijanja
Hata kama milioni moja ndio nini bana, atajijua mwenyewe na mdomo wake mzito, hata lifti ameshindwa kutoa njiani wakati anaenda kazini? sijui ni MP maana anaonekana rahisi kuburuzwaKwa misifa hiyo atampata nani labda wa tamaa
siku ya kwanza unaanza kujieleza oohh mshahara wangu mara
nyumba, mara mie sijui nini hana maana kwanza hafai
mtu anatakiwa kuona sio kuambiwa
Bado hujawa tayari, ukiwa tayari utampata tu pamoja na kuwa bussy namna hiyo.
wazo zuri kiongozi,haya mkatakiu fanyia kazi hilo bonge la idea hapo kwenye red.Kama wewe ni wa nyumbani ofisini na huna 'social contacts' na binti yeyote asiye ndugu wa karibu basi jaribu kuangalia beki tatu hapo nyumbani kama analipa ujibinafsishie.
Jana nilizima mpwa valuu chupa 2 na kili 7 dah hapa nahisi kufa kufa.
Kibaya zaidi nilikuwa na gemu mchangani nikaishia kuchezea mausi.