Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Pole mkuu

Nchini ufarasa umeanzishwa utaratibu wa watu walio single kukutankshwa na kuongee na mtu aliye single pia

Maneno amabayo mtaweza kuongea Ni pmj na ilove u ,lbda good night ,vile ambavyo umevimiss kutoka kwa uwapendao bas wameandaliwa watu watakao kuambia maneno matamu matumu tu ether kwa simu au mkutane mghawani muongee Kam vile wapenzi wa siku nyingi

Hili Jambo ni zuri tafuta sehemu baa nenda siyo lzm unywe pombe tafuta demu mkali muuza bar mnunulie bia na vingwaji huku mnaongea Kisha ukamaliza muage na Wal usichukue namb zake ,

Hali hyo ya upwekee itakusadiaa snaa
 
Namshukuru Mungu no matter how hard the situation is, huwa nahakikisha nina mtu wa kumueleza hata kama dunia yangu inataka kugawanyika vipande vidogo vidogo na akanielewa bila kunihukumu, tena wengine tulikutana tu humu humu JF..!!

Ninachotaka kukuambia ni kuwa humu ndani kuna raia wa kila namna ila bado wapo wale watu ambao ni bora kabisa hutojuta kuwafahamu, tafuta kamtu kako kamoja ambako katakuwa nawe, iwe jua iwe mvua..!!

Pole sana sana kwa unayoyapitia, Mungu atakuvusha salama, msihi tu kuwa kamwe asikuache uaibike, haijalishi itakuwa mbaya kiasi gani ila hatokuacha, na kumbuka kamwe Mungu hawezi kukupa jaribu kubwa kuliko ustahimilivu wako, 'DHAHABU huwezi ng'ara mpaka kwanza upite kwenye moto'..!! USIOGOPE..!
 
Asante Swahiba Cha kuongeza kila jumatatu na jumatano usiku awe anasikiliza radio TBC Taifa kuanzia saa nne na robo mpaka saa sita usiku Kuna kipindi kizuri sana. Na wewe uwe unasikiliza anza kesho halafu Alhamis asubuhi nipe mrejesho 😊😊😊
 
Aaamina
 
Kunitajia timu yangu SijapendaπŸ˜€
 
Cc tamuuuuu kaka jaribu kusikiliza.

Mtaniambia kuna nini. πŸ˜€πŸ˜€
 
Maneno mazuri lakini watu wengi sio waaminifu ,hasa marafiki wanaumiza mno mm huwa nayazika moyoni kimtindo ila muhimu kuwa na subra Kila jaribu huwa mlango wa kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…