dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Pole mkuuNi muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?
Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.
Sijui nifanyeje?
Nchini ufarasa umeanzishwa utaratibu wa watu walio single kukutankshwa na kuongee na mtu aliye single pia
Maneno amabayo mtaweza kuongea Ni pmj na ilove u ,lbda good night ,vile ambavyo umevimiss kutoka kwa uwapendao bas wameandaliwa watu watakao kuambia maneno matamu matumu tu ether kwa simu au mkutane mghawani muongee Kam vile wapenzi wa siku nyingi
Hili Jambo ni zuri tafuta sehemu baa nenda siyo lzm unywe pombe tafuta demu mkali muuza bar mnunulie bia na vingwaji huku mnaongea Kisha ukamaliza muage na Wal usichukue namb zake ,
Hali hyo ya upwekee itakusadiaa snaa