Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Maneno mazuri lakini watu wengi sio waaminifu ,hasa marafiki wanaumiza mno mm huwa nayazika moyoni kimtindo ila muhimu kuwa na subra Kila jaribu huwa mlango wa kutokea
Hakika hakuna jambo linalodumu na inatakiwa kufahamu hakuna mtu asiyekuwa na changamoto lakini wengine Huwa wanazificha kwa tabasamu japo mioyo Yao inavuja damu. Kinachowaumiza wengi na kuwaacha na maumivu moyoni ni ile hali ya kuangalia maisha ya watu wengine mitandaoni.
 
Haya sasa, fungua inbox waje
 
Real watu wanapitia magumu sana ila tukionawatu wanafurahi tunahisi wakopoa lkn kilamtu ana mzigowake mwingine ni mzito kukuzidi tukubali changamoto zitufunze ila zisituvunje moyo safar Bado sana
 
Wahuni wanaulizaga "chura ipo"? Na mimi inabidi niulize hivohivo
 
kumbe ww tena ni shabiki wa mpira , asee
 
Real watu wanapitia magumu sana ila tukionawatu wanafurahi tunahisi wakopoa lkn kilamtu ana mzigowake mwingine ni mzito kukuzidi tukubali changamoto zitufunze ila zisituvunje moyo safar Bado sana
Hasa Macelebrity aisee Huwa nawasoma body language zao nagundua Kuna vitu haviko sawa. Hebu jaribu hata kumuangalia Diamond anapozungumza sio anapoimba utagundua Yuko na msongo sana. 😀
 
Real watu wanapitia magumu sana ila tukionawatu wanafurahi tunahisi wakopoa lkn kilamtu ana mzigowake mwingine ni mzito kukuzidi tukubali changamoto zitufunze ila zisituvunje moyo safar Bado sana
Haya mambo ni kama kuumwa tu, ukienda hospital unaweza kujiona wewe hauumwi sababu utakutana na watu wanamaugonjwa hadi utashangaa.

Vivo hivyo kwenye kichwa cha mtu, kuna experience mtu akikusimulia au ukijua ashazipitia unaweza kuona wewe maisha yanakupendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…