Napata wapi muongozo unaoonesha ni ndugu gani hawaruhusiwi kuoana na ambao wanaweza?

Napata wapi muongozo unaoonesha ni ndugu gani hawaruhusiwi kuoana na ambao wanaweza?

Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.

Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.

hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?

Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Kosea ili hakimu akakupe muongozo na kazi ngumu gerezani.
 
Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.

Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.

hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?

Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Vipi Braza Kede unataka kula kuku na mayai yake?Ukijichanganya ujue jela ipo.
 
Miongozo ya kimila iliyoandikwa sidhani kama ipo. Ila kwenye sheria kifungu cha 158 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code) kinamkataza mwanaume kumla mjukuu wake, binti yake, mama yake au dada yake. Pia kifungu cha 160 kinamkataza mwanamke kuliwa na mjukuu wake, mwanae, baba yake au kaka yake.

Wengine wote ambao hawajatajwa hapo ni ruksa kukulana nao.
Kwaniaba ya mtoa mada niseme asante.
 
Fatilia mila kwanza zinasemaje ?

Kuna familia ambazo zikioana hakuna tatizo litatokea Ila familia nyingine huwa kunaibuka magonjwa na machafuko makubwa Sana

Hapa ninapokaa huwa wanoana Ila mtoto wa kike lazima awe malaya na wakiume awe mwizi so this is curse .

So just trace in family background ikiwa hiki kitu hakipo don't do that shit

Tofauti na hapo utazaa Mapooza
 
Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.

Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.

hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?

Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali.
Unaweza kusoma kwenye biblia kitabu Cha walawi 18:6 nakuendelea utapata jibu lako .
 
Muongozo mzuri ni ule unaopatikana from your family background .

Maana kuna familia zina spirit bloodline hawaruhusiwi kuona na mkiona mambo huenda vibaya .

So fatilia katika familia yako au ukoo wako ikiwa hakuna kitu kama hicho utakuwa wa kwanza kukianzisha .
 
mkuu mbona hatuongelei hawa underage, hao sheria yao inaeleweka
Hata kwa ndugu inahusika,kwani hukusikia Dada na Kaka wa Shinyanga,Mvua lilikuwa 30 kwa dada kwa kuwa mkubwa Kaka 20 kwakuwa alikuwa mdogo.Kuzaa na kuishi kama mume na mke
 
Back
Top Bottom