Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kosea ili hakimu akakupe muongozo na kazi ngumu gerezani.Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?
Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Vipi Braza Kede unataka kula kuku na mayai yake?Ukijichanganya ujue jela ipo.Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?
Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Huyo ukute ameshaharibu anahaha hivi sasa.Kwanini uoe ndugu zako na makabila ya watu ambao hauna undugu nao wamejaa tele.?
Kwaniaba ya mtoa mada niseme asante.Miongozo ya kimila iliyoandikwa sidhani kama ipo. Ila kwenye sheria kifungu cha 158 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code) kinamkataza mwanaume kumla mjukuu wake, binti yake, mama yake au dada yake. Pia kifungu cha 160 kinamkataza mwanamke kuliwa na mjukuu wake, mwanae, baba yake au kaka yake.
Wengine wote ambao hawajatajwa hapo ni ruksa kukulana nao.
Itakuwa 😹😹Huyo ukute ameshaharibu anahaha hivi sasa.
Nukuu kutoka wap?Ni haramu Sana mkuu
Kibongo bongo mkuuNukuu kutoka wap?
Kwa tamaduni zetu sio?Kibongo bongo mkuu
Ndio ila wahindi fresh ila sio dada na kaka ni haramuKwa tamaduni zetu sio?
kwa muongozo ganiNi haramu Sana mkuu
wazee ndo wana miliki muongozo?Fatilia kwa wazee wenu wa ukomo watakwambia Mila na desturi zilizopo
Unaweza kusoma kwenye biblia kitabu Cha walawi 18:6 nakuendelea utapata jibu lako .Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?
Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali.
kwann mila za wenzio unasema za ajabu?Mtoto wa dada yake anaona, mtoto wa mjomba anaona mambo ya ajabu sana
Astaghafirullah unaweza kumbandua dada yako?kwa muongozo gani
mkuu mbona hatuongelei hawa underage, hao sheria yao inaelewekaVipi Braza Kede unataka kula kuku na mayai yake?Ukijichanganya ujue jela ipo.
wew hutaki kuwa jasiri mwanzishanjia?ikiwa hakuna kitu kama hicho utakuwa wa kwanza kukianzisha
Hata kwa ndugu inahusika,kwani hukusikia Dada na Kaka wa Shinyanga,Mvua lilikuwa 30 kwa dada kwa kuwa mkubwa Kaka 20 kwakuwa alikuwa mdogo.Kuzaa na kuishi kama mume na mkemkuu mbona hatuongelei hawa underage, hao sheria yao inaeleweka