Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Hapana sina mkuu.Una jamaa au rafiki yako ana jamaa nje ya nchi akutumie barua ya mualiko uambatanishe.
Ukitafuta rafiki yake na rafiki yake mtapata tuHapana sina mkuu.
Sawa ila Naona mpka mtu akukubali ila wengine wanaweza wasikusaidie huenda wanakuwa wapo busy na majukumu yao mkuu.Ukitafuta rafiki yake na rafiki yake mtapata tu
Waambie unaenda kama MTALIIHello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
Pasport inapaswa ni sehemu ya vitambulisho anavokuwa navyo mtu lakini kwa Tanzania, vipengele kibao. Wambie unataka kwenda china kuchukuwa mzigo wa biashara hapo hakikisha una TIN namba tu na hela kiasi kwenye accountHello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
Sio lazima Ulaya, tafuta hata rafiki fb Kenya au Zambia mpange muombe akutumie barua ya mualiko uambatanishe,ukishindwa waibukie wakupe njia nyingineSawa ila Naona mpka mtu akukubali ila wengine wanaweza wasikusaidie huenda wanakuwa wapo busy na majukumu yao mkuu.
What's alternative?
Watataka bank statement mkuuWaambie unaenda kama MTALII
Ukisema unaenda Zambia wanasema Kuna temporary passport pale boarderTabu yote ya. Nini we andika unaenda matembezi zambia full stop
Mimi nilifanya ivyo now nyago lipo geto
Watambana ticket ya ndege na ushahidi wa safari,na ticket hawakupi bila passport.Waambie unaenda kama MTALII
Sijakutana na icho kitu mimi tena barua plus kujaza fomu nilijaziwa na kuandikiwa na huyo huyo afisa wa uhamiaji nikampooza na 30 kama asanteUkisema unaenda Zambia wanasema Kuna temporary passport pale boarder
Kumbuka anaomba passport.Watambana ticket ya ndege na ushahidi wa safari,na ticket hawakupi bila passport.
Sawa na ilivyo nje ya nchi kimasomo bila passport hawakupi admission,na uhamiaji upewi passport bila admissions letter.
Mbombo ngafu sawa na kati ya kuku na yai kipi kianze.
Hahaha yaani Noma sana mambo hayaelewekiWatambana ticket ya ndege na ushahidi wa safari,na ticket hawakupi bila passport.
Sawa na ilivyo nje ya nchi kimasomo bila passport hawakupi admission,na uhamiaji upewi passport bila admissions letter.
Mbombo ngafu sawa na kati ya kuku na yai kipi kianze.
Nchi ina mambo mengi sana hii. Yaani unafikiri unawaomba Visa.Watambana ticket ya ndege na ushahidi wa safari,na ticket hawakupi bila passport.
Sawa na ilivyo nje ya nchi kimasomo bila passport hawakupi admission,na uhamiaji upewi passport bila admissions letter.
Mbombo ngafu sawa na kati ya kuku na yai kipi kianze.
Nimetumia 170 tu ila iyo ela akiweka ndani ya wiki tu kapata kama ana haraka ila kama huna haraka atumie pesa kama yangu ndani ya mwezi kaipataWeka 300k mezani mambo ya barua utasikia kwa jirani.