Vigezo na masharti kuzingatiwa . Protokali.Ushaanza mchakato kama bado waibukie ofisini kwao watakupa miundombinu kupitia vigezo vingine utapata
Vigezo na masharti kuzingatiwa . Protokali.Ushaanza mchakato kama bado waibukie ofisini kwao watakupa miundombinu kupitia vigezo vingine utapata
Hello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
Ndio yupo dar ofisi ya mkuu wa mkoa pale uwanja wa taifaHello,unaweza kunisaidia mawasiliano yake ,kama yupo Dar, passport yangu imezuiliwa,sina barua kutoka kazini,I'm jobless kwa sasa!!?.
Hii nchi bhana, Passport si kila mtu anatakiwa awe nayoBarua ya mwaliko sio lazima.
Unatakiwa kuwa na barua ya mtendaji wa mtaa wako unaoishi au barua ya mwajiri wako kama unafanya kazi sekta binafsi au umma, na wala hiyo barua haihitaji kueleza kwamba unasafiri au vp inatakiwa kusema tu kuwa huyu mtu ni fulani na ashughulikiwe ombi lake bhas.
Watanzania tuache uwoga, vitu vingine kuvipata ni rahisi na wala havihitaji gharama yoyote bali ni kutambua na kuwa na taarifa sahihi.
Jamaa amekuambia Vizuri double hio Hela kutoka 150k unayolipa kwenye mifumo to 300k within a week utakuwa na Pass yako MkononiChangamoto inakuja kwenye uthibitisho wa safari Mimi sina haraka sana na passport nataka kuondoka December this Year