Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali bruh 😃Nataka Biashara Mkuu,
Connection.
tUPe bAba,tUPEe😊Unataka biashara halali tu au hata haramu ?
Nasikia bangi inalipa kichizi, uwe tu na koneksheni naUnataka biashara halali tu au hata haramu ?

Hiyo biashara hiyo...ngoja nisiseme sana ila kuna sehemu za kitalii inalipa mno😌Nasikia bangi inalipa kichizi, uwe tu na koneksheni na![]()
Jiepushe sana na mambo ya kuomba omba ushauri unapotaka kufanya jambo fulani.Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu, nahitaji kujua Kutoka kwako, kama Kuna engo ya biashara unauzoefu nayo au Kuna biashara unaielewa vizuri, naomba nishirikishe mawazo Yako.
Mimi nahitaji nipate pakuanzia mawazo yangu, kama nilivyotangulia kusema Sina Msingi mzuri wa mawazo ya biashara.
Nahitaji Msaada wako Ndugu yangu, Rafiki yangu, MwanaJamiiForum Mwenzangu
Hii ni nondo muhimu sana. Hongera kwa kutupa neno lakutujenga👊Biashara zetu nyingi zinakufa kwa sababu tunakuwa hatuna ''business plan'' ambayo ingeelezea namna ya kushughulika na changamoto mbali mbali, wengi tunaanzisha biashara kwa kuigana tu, leo mimi nimefungua na wewe kesho umetamani umefungua.
Asante, mkuuNaona idea unazo ila ni ile jinsi ya kuanza unaanzaje wakoloni wanaita starting point ndio inakusumbua hapo Tafuta mentor au mzoefu kwenye hiyo Biashara unayotaka Kufanya akupe ABC
Kwa mfano hapo umesema unataka kufanya Biashara ya nafaka , Kuna dada Instagram anaitwa vale Nafaka ndio mambo yake hayo ya Nafaka ana uzoefu nayo na huwa anatoa na madarasa na mentorship , anatoa muongozo machimbo ya Nafaka, usafiri , n.k Kulingana na mtaji ulionao unaweza kumchungulia insta vale Nafaka ukaona. Hiyo Biashara ya Nafaka usikurupuke
Kuna Biashara zingine unaweza ukaanza tu , ila Kuna nyingine zinataka muongozo na connection fulani.
Kwahiyo ndio Kama hivyo. Kila la Kheri.
Nimefanya kidogo biashara ya nafaka,kitu cha kuzingatiaa ni wapi unachukulia mzigo na wapi solo lako na je faida yake ni asilimia ngapi? Usidhani kila nafaka ukiitoa kijijini utanunua Kwa bei ya chini na ukiileta mjini utaiuza bei ya juu na kupata faida,bei ya mazao shambani na sokoni usipokuwa makini unaweza dhani ni kubwa,mfano unaweza kuta mchele unauzwa kamsamba Kwa 2000 ukileta Dar unauza Kwa 2800 sasa faida ya 800 Kwa kilo sio ndogo inategemea Una kilo ngapi,zingatia hicho kitu pia ubora WA bidhaa yako! Ukiweza Kwa hiyo 1.5 kununua mpunga Kwa wakulima Kwa bei ya chini then ukobowe ulete sokoni Ila zingatia tofauti ya bei uliponunulia na bei gani utaenda kuuza sokoni,na je soko lipo kweli ni uhakika? Nimesha wahi nunua mahindi singida vijinini Kwa 45000 gunia alafu mpaka siku naleta sokoni nakuta bei imeshuka watu wananunua Kwa 43000, hasa Dar,usilete bidhaa mpaka umejua soko la uhakika,mchele unaweza kuwa adimu huko shamba ukahisi Kwa kuwa umeadimika huku shamba Basi Dar au sokoni ukadhani huku ndio hamna kabisa,kumbuka Dar kuna mchele WA kutoka kila sehem Tanzania ila kamsamba hamna mchele unaoingia toka nje ya kamsamba zaidi ya kamsamba yenyewe! Fanya tafiti vizuri,cheza na namba vizuri utafanikiwa! Huwa nasikia pia mchele Zanzibar unalipa japo sina hakika! Kwa huo mtaji Anza na zao Moja KwanzaKumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu, nahitaji kujua Kutoka kwako, kama Kuna engo ya biashara unauzoefu nayo au Kuna biashara unaielewa vizuri, naomba nishirikishe mawazo Yako.
Mimi nahitaji nipate pakuanzia mawazo yangu, kama nilivyotangulia kusema Sina Msingi mzuri wa mawazo ya biashara.
Nahitaji Msaada wako Ndugu yangu, Rafiki yangu, MwanaJamiiForum Mwenzangu