Napataje mawazo mazuri ya kuanzisha biashara? Kufikiria mwenyewe haitoshi kunipa wazo sahihi kwa asilimia 100.

Kuwa na mawazo ya hivi tu tayari ni kuelekea njia ya kufanikiwa.....

Ila mtu mwenye "sina mtaji" "nikipata mtaji" " nitatafuta mtaji" 😁😁 atapata tabu
Kwa nyie wenye Maarifa basi Mtumikeni kutuelimisha Wengine ambao tuna mitazamo potofu.
Muda mwingine tunafanya hivyo tukiwa hatujui kama tunakosea..✊
 
Ukiwa na mpango mzuri wa biashara ndiyo nguzo kuu.

Mpango mzurI wa biashara huwa unaweza kukubeba hata kama huna uzoefu wa biashara

Nii rahisi kupata wabia, pia unaweza ukapitisha daftari la mchango, (cloud funding), ila utapata hela ndogo ziko njia nyingi sana sitaki kuzitaja hapa,
reasons best known by myself
One love .
We are family.
Share what you have with us.
It can be helpful with public.
We are here togather and gathering some knowledge.
We are learning everyday.
 
!?!

True we are learning every day, (life learning skills), kwenye elimu ya ujasiriamali, tunajifunza jinsi ya kufanya biashara na siyo kuhusu biashara wengi wamejifunza kuhusu biashara

In entrepreneurship we learn how to do business not about business

Huwa nashangaa sana watu wengi wanapenda kusikiliza motivation speakers tena hata wasomi ukiwambia unaandika kitabu wanakuuliza what is your success story swali fikirishi je majambazi waliofanikiwa wanasema walimkaba nani? Ama siri ya mtungi, wajinga ndiyo waliwawo

Vile vile. Mafanikio uliyokuwa unayapata awamu ya 4 usingeliweza kuyapata awami 5
Kwakifupi watu wengi wanapenda kusikiliza mafaniko ambayo wao hawawezi kuyaishi, (hata kuyaigiza hawawezi),

Kama huna sifa hata moja ya ujasiriamali huwezi kufanya biashara yoyote ile
 
!?!

True we are learning every day, (life learning skills), kwenye elimu ya ujasiriamali tunajifunza namna ya kufanya biashara wengi wamejifunza kuhusu biashara

In entrepreneurship we learn how to do business not about business

Huwa nashangaa sana watu wengi anapenda kusikiliza motivation speakers tena hata wasomi ukiwambia unaandika kitabu wanakuuliza what is your success story swali fikirishi je majambazi waliofanikiwa wanasema walimkaba nani? Ama siri ya mtungi
Binadamu asilimia kubwa anapenda sana faraja..
Ndiyo maana Mara nyingi anaogopa sana kusikia ukweli unaomkosoa.
Akifarijiwa kwa Maneno mazuri anaona anapata nguvu ya kufanya.
Ndio maana hata mgonjwa mahututi dakika2 mbele anakufa ,atafarijiwa utapona
 
Anaishi kwa matumaini lakini biashara haziishi kwa matumaini
 
Kumradhi Ndugu yangu.

Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.

Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.

Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.

Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu, nahitaji kujua Kutoka kwako, kama Kuna engo ya biashara unauzoefu nayo au Kuna biashara unaielewa vizuri, naomba nishirikishe mawazo Yako.

Mimi nahitaji nipate pakuanzia mawazo yangu, kama nilivyotangulia kusema Sina Msingi mzuri wa mawazo ya biashara.

Nahitaji Msaada wako Ndugu yangu, Rafiki yangu, MwanaJamiiForum Mwenzangu
mimi nakushauri anza tu. Fata nafsi yako. usiogope.
 
Kwa nyie wenye Maarifa basi Mtumikeni kutuelimisha Wengine ambao tuna mitazamo potofu.
Muda mwingine tunafanya hivyo tukiwa hatujui kama tunakosea..✊
Okay okay maarifa umepata, cha kwanza kabisa jiondolee fikra negative kwamba hiki siwezi, nitajaribu, sina mtaji, na vingine vya dizaini hizo......

Jisemee fikra za mafanikio za kujenga, nataka biashara fulani nitafanya, biashara hii mtaji mil 2 ila nna milion moja hii moja napambana nitaipata.... Akili itafanya kazi hadi mwenyewe utashangaa na milango ya kufanikiwa itajifungukia.

Kingine kuna nguvu kubwa sana katika ukimya, ukitaka kufanya jambo lako lifanye kwa ukimya.....
 
Kwahiyo muda mwingine kinachotufelosha ni mitazazamo hasi...
Nimekupata Evelyn Salt
 
Kabisa......
Kuna namna hata akili zetu huwa zinafanya kazi kwa jinsi tunavyozidirect.

Mfano hapo unaweza kuta wewe hauwezi kabisa kuamka saa kumi, na unajisemea mi kuamka saa kumi siwezi ni ngumu, aseee hauamkiii hata kwa maombi ndo kwanza huo muda utaanza kuota ndoto nzuri nzuri.

Ila amini kabisa the moment ukisema kuanzia kesho naamka saa kumi alfajiri....ikifika muda huo akili chaaap inaamka na mwili wako unaamka.

Sijui unanielewa???!!!
 
Maneno mazuri sana.
Nakuelewa vizuri madam Evelyn Salt
Una madini sana,🫓
 
Siyo sababu ya msingi, yaani wafanya biadhara wote walofanikiwa walienda kwa wahondi?, mbona wahindi hawatuzi kwa akili
Inawezekana siyo sababu ya msingi kwako, lakini ndiyo ukweli ulivyo kwenye biashara wahindi wametuzidi sana, si Tanzania tu, tembelea nchi nyingi utaona wahindi ni miongoni mwa wafanya biashara wakubwa. Sisi wabongo si kwamba hatuna wafanya biashara wakubwa, lakini tatizo huwa hatuna muendelezo wa hizo biashara. Nina uhakika kama Mzee Mengi angekuwa hai angekuwa mbali sana, lakini alipoaga dunia, na biashara zake zimeyumba pia. Mtu anayetaka ushauri wa biashara apate ushauri kwa wanaofanya biashara, huenda wewe una akili zaidi ya muhindi lakini huwezi kumshauri mtu kwenye biashara kwani siyo fani yako.
Waulize wanaojua ikiwa nyinyi hamjui.
 
Je unazifahamu sifa za mjasiriamali aliye fanikiwa, (entrepreneurial competences) well defined as traits, kama huna hata sifa moja huwezi kufanya biashara yoyote pia ili uwe na biashara shindani kitaalamu unashauriwa uwe na andiko la mpango wa bishara yaani ufanye makosa kwenye makaratasi badala ya kwenye biashara
 
Ni zipi sifa za mjasiriamali aliyefanikiwa?
Zingine🫓
 
Back
Top Bottom