Relax..biashara hagombi! Nimeweka tu tangazo la wadhamini, ila hapa utapata na usiyohitaji, muhimu tafuta legal officer yeyote mwenye uelewa wa mambo ya kibenki atakupa muongozo mzuriKuwa serious kidogo unaleta habari za boss wa feruz mzee
Hakuna bank inakubali dhamana kiwanja .Bank ziko nyingi mkuuu,. Anza na NMB au CRDB uone taratibu zao zikoje
Huwezi pataHakijapimwa na serikali mkuu vipi wanaweza nikopesha
Ana pata ila nusu ya thamani ya hicho kiwanja.Hakuna bank inakubali dhamana kiwanja .
Unadhani inatoka chap namna hiyo? LolHati ya wilayani sina ila naweza itafuta kama haitakuwa na mlolongo mrefu
OkayAna pata ila nusu ya thamani ya hicho kiwanja.
Intelligent businessman njoo usome hapaNaona wanakushauri kwenda benki.... Kiwanja pekee hakitoshi kukupa mkopo kwenye taasisi rasmi Kama benki.... Chanzo chako Cha kipato kitaamua upate mkopo kiasi gani na kiwango Cha marejesho.
Nmebaki nashangaa bank gani hyo.Naona wanakushauri kwenda benki.... Kiwanja pekee hakitoshi kukupa mkopo kwenye taasisi rasmi Kama benki.... Chanzo chako Cha kipato kitaamua upate mkopo kiasi gani na kiwango Cha marejesho.
yap ndio.Ulikuwa na biashara lakini au sio
Yupo sawa pia, maana mkopaji ali kuwa na vyanzo kadhaa vya mapato.Intelligent businessman njoo usome hapa
poa.Nimekupm mkuu
Intelligent businessman soma hiiKama ni kiwanja peke ake, usijisumbue kwenda benki hawatakukopesha maana nilazima pawe na nyumba. Ila kwa hawa wanyonya damu wanaweza kukupa
Ndo hivyo .nenda finca jaribu hukoWakuu nimeenda NBC wanasema hadi mali isiyohamishika iwe ni nyumba kiwanja hakipo sasa inakuwaje
Hakijapimwa na serikali mkuu vipi wanaweza nikopesha
Kigezo namba moja kinachoangaliwa kwenye mkopo ni biashara unayoifanya na ustawi wake ukoje, note lengo la kukukopesha ni wewe urejeshe hela bila inconvenience yoyote... dhamana huwa kitu cha baadae sana kuzingatiwa.Dhamana ni kiwanja sio biashara