Napataje mkopo kwa dhamana ya kiwanja

NBC wanataka TIN na leseni na mali isiyohamishika yaani nyumba sio kiwanja pamoja na bank statement hapo nimekwama aiseee
 
NBC wanataka TIN na leseni na mali isiyohamishika yaani nyumba sio kiwanja pamoja na bank statement hapo nimekwama aiseee
Aisee lazima ukwame maana hapo Huna kigezo hata kimoja.

Yaani kama hiyo pesa ina ulazima sana kwa sasa fanya kuuza tu hicho kiwanja utakuja kukinunua mbeleni huko japo kwa bei ya juu kidogo.
 
Naona wanakushauri kwenda benki.... Kiwanja pekee hakitoshi kukupa mkopo kwenye taasisi rasmi Kama benki.... Chanzo chako Cha kipato kitaamua upate mkopo kiasi gani na kiwango Cha marejesho.
NAMI Nina shida kama ya mleta mada, na benki waliniambia kitu hiko hiko
Hapa ndio nahangaikia labda kwa mtu binafsi
 
Wakuu nimeenda NBC wanasema hadi mali isiyohamishika iwe ni nyumba kiwanja hakipo sasa inakuwaje
Mkuu tungekua mkoa mmoja pengine tungesaidiana..Mimi Nina mali isiyohamishika, ila Sina biashara na Nina uitaji huo wa pesa
 
Aisee lazima ukwame maana hapo Huna kigezo hata kimoja.

Yaani kama hiyo pesa ina ulazima sana kwa sasa fanya kuuza tu hicho kiwanja utakuja kukinunua mbeleni huko japo kwa bei ya juu kidogo.
Nina lesen na Tin hivyo vingine sina
 
Mkuu tungekua mkoa mmoja pengine tungesaidiana..Mimi Nina mali isiyohamishika, ila Sina biashara na Nina uitaji huo wa pesa
Wana mambo mengi sana kwa mkopo wa mil3 mambo yote hayo
 
Ungekua willing na tuko angalau mkoa mmoja ama karibu karibu tungesaidiana mana na Mimi Nina shida kama yako japo tunatofautiana, wewe unachokosa ninacho, Mimi nachokosa wewe unacho
Upo mkoa gani
 
Umesomeka sana

Na ndio hali halisi
 
Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo

Note: isiwe hizi microfinance
Unahitaji Hati miliki ya kiwanja.

Ila Kwa ushauri NEVER weka bond Mali Yako Kwa pesa. Kheri ufanye kazi au tafuta biashara ufanye kutokana na mshahara ndio ufanye jambo ulilotaka kufanya Kwa huo mkopo
 
Unahitaji Hati miliki ya kiwanja.

Ila Kwa ushauri NEVER weka bond Mali Yako Kwa pesa. Kheri ufanye kazi au tafuta biashara ufanye kutokana na mshahara ndio ufanye jambo ulilotaka kufanya Kwa huo mkopo
Bila hivyo nitapoteza kitu cha thamani kuliko hata hicho kiwanja ndio maana nahitaji mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…