Chuo cha kilimo nyuma mkabala na ile lodge kali iliyojengwa nyuma ya chuo cha kilimo, kiwanja kinatazamana na kile kigorofa cha yule sijui mwanajeshi wanasema ni mdadaMwasonga ipi? Kwa sharifu? Kichangani? Ngoma mapinduzi au hii inayokqmatana na magodani?
Niuzie kiwanja kama gari ipoBila hivyo nitapoteza kitu cha thamani kuliko hata hicho kiwanja ndio maana nahitaji mkopo
ohh Asante bro, mimi kazi yangu kula hivyo kukariri miji ni kipengele.Si mbali sana kutoka Kisarawe 2. Lakini pia ni mji unaokuwa kwa kasi sana sasahivi. Prospectus ya mwasonga kwa miaka 7 au 5 to come inaweza kuwa nyingine kabisa
Anhaaa pale mbele kile kisenta nina kiwanja pale.. ni eneo zuri jamaa atie hela ila kwa ukubwa huo si kama umemuuzia tu?Chuo cha kilimo nyuma mkabala na ile lodge kali iliyojengwa nyuma ya chuo cha kilimo, kiwanja kinatazamana na kile kigorofa cha yule sijui mwanajeshi wanasema ni mdada
Mkuu utapata tuNahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo
Note: isiwe hizi microfinance
Hoja imeishia hapaNenda Bank watakupa Muongozo
Mkuu pale siuzi hata kwa dawa nimeenda mwezi wa kumi mwaka jana pamebadirika sana hitaji langu ni kupata mkopo ila bank wana mashart mengi sanaAnhaaa pale mbele kile kisenta nina kiwanja pale.. ni eneo zuri jamaa atie hela ila kwa ukubwa huo si kama umemuuzia tu?
Mheshimiwa usikubali kudanganywa. Hakuna benki inayotoa mkopo kirahisi tu kwa dhamana ya kiwanja! Kule wanatoa mkopo kwa dhamana ya nyumba, na hapo unatakiwa uwe na biashara hai yenye leseni ya biashara na tax clearance kutoka TRA.Hakijapimwa na serikali mkuu vipi wanaweza nikopesha
Ahsante mkuu nimeenda kuthibitisha mwenyewe ni kweli uyasemayo sasa nifanyeje kiongozi wangu nipate mkopoMheshimiwa usikubali kudanganywa. Hakuna benki inayotoa mkopo kirahisi tu kwa dhamana ya kiwanja! Kule wanatoa mkopo kwa dhamana ya nyumba, na hapo unatakiwa uwe na biashara yenye leseni ya biashara na tax clearance kutoka TRA.
Nimetoa ushauri mwingine kwenye hayo maelezo yangu. Fanya tu mchakato utafute mteja ukiuze hicho kiwanja. Ukiingia kwenye mikopo ya moto, utapewa hela kidogo na kiwanja nacho utawaachia baada ya kishindwa kupeleka marejesho yote.Ahsante mkuu nimeenda kuthibitisha mwenyewe ni kweli uyasemayo sasa nifanyeje kiongozi wangu nipate mkopo
Siku zote ukitangaza kuuza kitu bei inakuwa ndogo kuliko ulionunulia ngoja tu nipambane to the last breathNimetoa ushauri mwingine kwenye hayo maelezo yangu. Fanya tu mchakato utafute mteja ukiuze hicho kiwanja. Ukiingia kwenye mikopo ya moto, utapewa hela kidogo na kiwanja nacho utawaachia baada ya kishindwa kupeleka marejesho yote.
Ukitulia utanunua kiwanja kingine.
Njoo nikupe hiyo mil 3, riba laki 6 kwa mwezi.Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo
Note: isiwe hizi microfinance
Kwa maneno hayo mil3 hunaNjoo nikupe hiyo mil 3, riba laki 6 kwa mwezi.
Ukishindwa kurudisha mil 3 na laki 6 kiwanja kunakuwa changu.
Mkataba tuaandikishana umekopa 3 na laki 6 bila kuonesha mambo ya riba.
Kama uko tayari pm niko na cash.
Ipo ulizia wapoFinca ndio wapi mkuu
Una dharau mkuu!Kwa maneno hayo mil3 huna
Si umesema hapo juu umekwama😆Umejuaje sina hata kimoja mkuu
Unajua 1m kwa mwezi riba hua ngap? Kimtaa mtaani?M3 kwa riba ya lk6 kwa mwez like serious!