Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hasira za nini, wale wako biasharani....wanataka kutongozwa na kushikishwa ukuta, jaribu kuwatongoza na kuwashikisha adabu ili waache hiyo tabia.Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Hata wamasai na Wasudan kusini nao ukiwaona unashikwa na "munkari"?Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Angetapika
Binafsi Tabia ya BinAdam jinsia ya kiume kuvaa hereni inanifikilisha sana.Tuna copy na kupesti.Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Hapo sasa,Yes kanisa linapokea wenye dhambi ili waache dhambi,kuna kosa ulitaka kanisa liwauwe na utauwa wangapi kanisa limejitenga na wanafika wanao kemea ushoga huku nyumbani kwao wakifila na kufilwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm napata hasira nikiona anajiweka kikekike then kafuga na ndefu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ENZI ZA WATOTO WALIOLELEWA NA BABA NA MAMA ZIMEISHA PITA 1960-1990)
TUKO KWENYE ZAMA ZA WATOTO WA MAMA PEKEE (2000-2100)
AMBAPO MTOTO WA KIUME
-ANASUKA NYWELE
-ANAFUGA KUCHA MOJA NDEFU, KUPAKA RANGI KUCHA
-ANA CHONGA NYUSI NA KUWEKA BREACH KICHWANI
-ANAVAA KAPTULA FUPI NA KUKATIZA KTKT YA WANAUME BILA AIBU
-ANAJICHUBUA SURA, KAMA NABII MKUU
-ANATOBOA PUA NA MASIKIO NA KUWEKA PIN NA HERENI
CHINA SASA HIVI WANAKUJA NA PEDI ZA KIUME, JIPANGENI JITAFUTENI, JIREMBENI.
#SISI YETU MAPUMB..
Anajichubua sura kama Nabii Mkuu [emoji119][emoji28]ENZI ZA WATOTO WALIOLELEWA NA BABA NA MAMA ZIMEISHA PITA 1960-1990)
TUKO KWENYE ZAMA ZA WATOTO WA MAMA PEKEE (2000-2100)
AMBAPO MTOTO WA KIUME
-ANASUKA NYWELE
-ANAFUGA KUCHA MOJA NDEFU, KUPAKA RANGI KUCHA
-ANA CHONGA NYUSI NA KUWEKA BREACH KICHWANI
-ANAVAA KAPTULA FUPI NA KUKATIZA KTKT YA WANAUME BILA AIBU
-ANAJICHUBUA SURA, KAMA NABII MKUU
-ANATOBOA PUA NA MASIKIO NA KUWEKA PIN NA HERENI
CHINA SASA HIVI WANAKUJA NA PEDI ZA KIUME, JIPANGENI JITAFUTENI, JIREMBENI.
#SISI YETU MAPUMB..
Huoni tatizo mtoto wa kiume kuvaa hereni?Hereni ina tatizo gani