Napatwa na hisia kali za kufanya ngono

Napatwa na hisia kali za kufanya ngono

Punguza kula vyakula vinavyohamsha hisia, karanga mbichi, tikit maj, tangawizi

Epuka picha na video zinahamsha hisia (XXX)

Fanya mazoez na jitahid kunywa maji mengi

Ingia deni nenda kabet, then anza mchakato wa kulilipa

Uje kunishukuru pm[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Asante mkuu
 
Sawa nikopeshe ata wewe ili niwe namawazo mkuu
 
Concentrate na masomo yako jitahidi kujipa homework nyingi hii itakusaidia kukuondoa ktk mawazo ya ngono na itakusaidia kufaulu form four kwa alama nzuri
 
Mbona nmemaliza shule kitambo
 
Utakuwa chizi mkuu unapoelekea ebu tafuta mpenzi akupunguze minyege yako
[/QUOTE
doooh asante vip kwawale tunaoish
i nyumbani kwa baba zetu aw wapenz tutawapeleka wap
 
Habar wakuu,
Naombani mnisaidie tatizo langu, skuizi za karibuni nmekuwa na mhemko mkubwa sana wa kuwa na hamu ya kufanya ngono napatwa na hisia kali sana mpaka nashindwa kujizuia na isitoshe sina mwanamke wala mchumba, hali hii inanipelekea adi kutamani kufanya punyeto kuangalia video za uchi na akili yangu masaa 24 inawaza ngono,
Nyege zinanipelekea nafika hatua mpaka natongoza ata wanawake ambao sikulajia kabisa, ambao tumezoeana kama marafiki,
kiukweli hali hii siipendi inanitesa ndio maana nmekimbilia huku kupata japo ushaur wenu .
Asnten.
Domo zege au
 
Back
Top Bottom