mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Punguza kula vyakula vinavyohamsha hisia, karanga mbichi, tikit maj, tangawizi
Epuka picha na video zinahamsha hisia (XXX)
Fanya mazoez na jitahid kunywa maji mengi
Ingia deni nenda kabet, then anza mchakato wa kulilipa
Uje kunishukuru pm[emoji120] [emoji120] [emoji120]