JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
acha utotoUshahidi huu hapa[emoji116]View attachment 2259107
[emoji116]
Unajua kusoma?acha utoto
Kuna watu bado hamjui maana ya katiba?. Katiba itaweka vipengere kama hivyo waziri hawezi kulala tu na kushauriana na mke wake, kesho anaanzisha tozo,ama anapandisha bei ya umeme bila kupitia proces ambazo wananchi watakubaliana nazo ama kuzikataa.Kwenye katiba mpya umeme umeandikwa utakuwa unauzwa Tsh ngapi.?
N nchi gani kwenye hii dunia serikali inauliza watu wake wanataka/wanashauri nini then serikali ifanye.?Kuna watu bado hamjui maana ya katiba?. Katiba itaweka vipengere kama hivyo waziri hawezi kulala tu na kushauriana na mke wake, kesho anaanzisha tozo,ama anapandisha bei ya umeme bila kupitia proces ambazo wananchi watakubaliana nazo ama kuzikataa.
Karibu nchi zote zenye domocrasia,mambo yote makubwa wanashirikishwa wananchi kupitia wabunge. Ni hapo tu katiba haifuatwi,waziri anaweza akalala asubuhi akamka na wazo lake tayari kwenye utekelezajiN nchi gani kwenye hii dunia serikali inauliza watu wake wanataka/wanashauri nini then serikali ifanye.?