Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje?
Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika kabisa ile inaenda kinyume na katiba yetu lakini pia kinyume na haki za binadamu.
Uchunguzi ufanyike ili kama kuna wenye hatia basi wafikishwe mahakamani wakajibu jinai zao kikubwa haki itendeke.
Lazima mfuate kauli ya Rais alisema tutendewe haki kwahiyo wasaidizi wa Rais lazima mtutendee haki sisi wananchi wake.